mmmh hilo lenye mapembe kama kichwa cha ng'ombe nimezoea kuliona kwenye video nyingi za Rihana!View attachment 491615View attachment 491616 unafahamu kitu kinaitwa Sex lust? Ushawahi kufanya ngono bila matamanio? Hapa ni jambo la kihisia zaidi, doing something without feeling it.... Je inawezekana?
Tahadhari niliyotoa ni pale imani za kishetani wanapoitumia Sex meditation kama sehemu ya ibada zao angalia picha naamini hutaona mkaa tena
mkuu mshana Tunda la mti alilokula Adam si kuzini hata ,kumbuka kabla ya kula Tunda Mungu alishawaambia wazae wapate kuongezeka ,wewe unadhani wangezaaje?Kufanya ngono kuzini etc ni lugha tu kitendo ni kilekile
Mshana leo ametuacha holaaa...njia pandaNimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :
Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)
Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa
Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona
Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni
Alamsiki
Jr.!
Anakwambia Elimu mbaya hii...naona giza tu sielewi chochote
Upo sahihi lakini hii yote ni kutokana na kushindwa Ku control hisia zetu na hapo ndipo shetani anapata nafasi na kutawala ndio maana ili uwe enlightened inabidi uwe na uwezo wa kutumia vizuri sex and sleep hapo utaweza kurudi kwenye uasilia (original nature)Thanks nimerejea na asante kwa ufafanuzi
Kimsingi Sex meditation haina tofauti na ile ya chakula, kwamba unakula kwa ajili ya faida ya kujenga mwili wenye afya, kwahiyo hapaswi kuchagua vyakula kisa LADHA
tuna tabia ya kula chakula kingi chenye ladha nzuri au kitamu na kula kidogo kile KILICHOPIKWA vibaya.. Haya ni matamanio ya mwili tu kupitia ulimi, lakini tumbi wala mwili haubagui.... Tunatakiwa kukichukulia chakula kama dawa na tiba ya njaa na sivinginevyo
Vipi kuhusu ngono? Kuna watu ni wagonjwa wa ngono wako so attached so obssessed ukimnyima kufanya ngono wiki umemtesa sana
Je unaweza kufanya ngono kama njia tu ya kupunguza manii mwilini ama kwa lengo la kuongeza uumbaji? Bila zile hisia?
Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :
Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)
Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa
Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona
Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni
Alamsiki
Jr.!
Adam hakuanguka kutokana na zinaa/ushawishi kingono, hayupo ktk kundi ulo muweka.Nimesita kwa muda kuweka hii mada lakini usiku huu baada ya meditation nimejikuta navutika kuiweka hapa lakini vilevile nikitimiza ahadi ya mdau Ms mol
Kwanza ni lazima tutambue kuwa ngono na tahajudi ni vitu vya kihisia zaidi kiroho zaidi kupitia jumbamwili linalowaka tamaa
Tahajudi(meditation) ni somo moja pana sana lenye mazuri mengi na mabaya mengi
Tahajudi inatumiwa na :
Matapeli
Wafanya mazingaombwe
Wanasiasa
Wafanyabiashara
Wanazuoni
Washika dini (mitume na manabii)
Waabudu sanamu na nguvu za giza kama imani za kishetani nk
Wote tunajua nguvu ya ngono na hii ndio dhambi ya asili, Adamu aliangukia hapa, Samsoni wa Delila hapa hapa, mfalme Suleimani na hekima zake alikuwa na wake mia tatu na masuria idadi hiyo hiyo (hapa King Mswati anasubiri sana)
Ngono imewaangusha wengi sana kuanzia washika dini, viongozi mbalimbali mpaka watu wa kawaida kabisa
Tahajudi inatumiwa na kutumika vibaya na watu wenye agenda za siri, agenda za kukidhi tamaa zao za mwili kwa jina la tahajudi
Kuna wenye kumaanisha lakini ni wachache mno, wengi wanaofanya sexual meditation ni wale wa imani za kishetani bila kujitambulisha wazi, lakini pia ndani ya ibada za kishetani, ngono ni kipengele kimoja muhimu sana.... Nimehudhuria nimeona
Najua Wengi wana munkari wa kutaka kufanya meditation, lakini ni vema sana ukawa makini na kile unachotarajia ama kutaka kufanya,....
Mambo mengi siku hizi yamefanyiwa kolabo.... Jihadhari sana unapojifunza hizi elimu ngeni
Alamsiki
Jr.!
Thanks am on the path to self cultivation.. You made a Wonderful point[emoji120] [emoji817] [emoji111] [emoji115]Upo sahihi lakini hii yote ni kutokana na kushindwa Ku control hisia zetu na hapo ndipo shetani anapata nafasi na kutawala ndio maana ili uwe enlightened inabidi uwe na uwezo wa kutumia vizuri sex and sleep hapo utaweza kurudi kwenye uasilia (original nature)
Sex and sleep are so vital to your nature, they are like shakti and Shiva hidden in plainsight....
mshana jr are you enlightened?
Alikuwa hajapewa idhini, na mamlaka husika, (MUNGU) kufanya tendo hilo, huo ndio uzinzi.Adam alizini kwani? Mhh mnh huo c kweli hata kdg. Yani mkewe alafu azini nae?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] !!!...Ni kweli sio sahihi....
Mshana Jr. Tahajudi ni kitu gani na kinafanyika namna gani?
Dah nimeambulia patupu hizi meditation hata sizijui