Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Wakati mwingine siyo akili zao mkuuPitia thread ya Mwanamke aliyepewa vyote na Mchepuko mpaka Kujengewa na Nyumba na Gari juu ila Anataka Kumuacha Aliyempatia Hivyo vitu.
Tafuta mwanamke anayekupenda siyo unayempenda wewe. Unajipeleka mwenyeww
Nipepo lisilomtakia mema linataka kumharibia ndiyo maana baadaye hujutia maamuzi yao