Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

Pitia thread ya Mwanamke aliyepewa vyote na Mchepuko mpaka Kujengewa na Nyumba na Gari juu ila Anataka Kumuacha Aliyempatia Hivyo vitu.

Tafuta mwanamke anayekupenda siyo unayempenda wewe. Unajipeleka mwenyeww
Wakati mwingine siyo akili zao mkuu
Nipepo lisilomtakia mema linataka kumharibia ndiyo maana baadaye hujutia maamuzi yao
 
Yes, Wanawake wote ni sawa... bisha at your own risk

Mleta uzi umeongea ukweli,, ila masikini wazee wa kulamba lami watakuja na misemo yao ya kujifariji huku...

Nchi zilizoendelea wale already wana uchumi,,ni kosa sana kujifananisha na watu ambao toka enzi za Yesu wanalimia PLAU,, wakati sisi hadi wa leo bado tunalimia Jembe la mkono..
 
True Women appreciate men who are honest with them and nothing puts her off than a dishonest man. Kumbuka kipindi unakutana nae ulikua na nini alafu kama uliwahi kukosana nae chanzo ilikua nini

you cannot buy love with money. you can buy a woman but not love.
if a woman truly loves you, she'll also love you when you're broke.
if she loves your money then test what happens when it's gone
 
You dont understand.

Women dont love, they obey. They were created to OBEY, not to LOVE.

Umeelewa, Mwanamke anatakiwa AKUTII, afuate unachotaka wewe. Ukimwambia aje geto kwako asubuhi na akaja, amekutii. Hajakupenda. Umeelewa dogo?
 
Ukiona unaanza kuwaelewa wanawake, ujue unakaribia kufa

Tuandae maturubai,
Huo Ni wosia wa mtoa mada[emoji4]
 
Back
Top Bottom