Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Wakati mwingine siyo akili zao mkuuPitia thread ya Mwanamke aliyepewa vyote na Mchepuko mpaka Kujengewa na Nyumba na Gari juu ila Anataka Kumuacha Aliyempatia Hivyo vitu.
Tafuta mwanamke anayekupenda siyo unayempenda wewe. Unajipeleka mwenyeww
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli akae kwa kutulia, muda utaongeaMuda utaongea
Wanakuelewa mkuu...wanajitia ubishi wa bureWanaume wengi wetu tunapenda kuwalaumu wanawake Kwa sababu hatuelewi mtazamo na falsafa Yao.
Mwanamke kaumbiwa kupendwa( kuhudumiwa na kutunzwa) ili aweze kumtii mwanaume (mumewe)
Umesema kweliMwanamke hawezi kukupenda Kama huna kitu, ukubali ukatae.
Lazima umhudumie kimwili na kihisia(moyo).
Vp kuitunza mbususu (Yan kuigonga vile inatakiwa) ?[emoji848]Kuna kuutunza mwili na kuutunza moyo wa mwanamke.
Hayo ukiyamudu umemaliza kazi
You dont understand.True Women appreciate men who are honest with them and nothing puts her off than a dishonest man. Kumbuka kipindi unakutana nae ulikua na nini alafu kama uliwahi kukosana nae chanzo ilikua nini
you cannot buy love with money. you can buy a woman but not love.
if a woman truly loves you, she'll also love you when you're broke.
if she loves your money then test what happens when it's gone