Hata kama una pesa mwanamke wa kweli hawezi ku-OBEY kama wewe ni dishonest atapenda hela zako ila feeelings za upendo atakuwa hana.
If you get a woman after you get money you've got yourself a liability she will need everything you can afford na akitokea anayeweza ku-afford zaidi utapigwa chini
Love needs money for survival sio luxutious
Hapo umechanganya, unasema hawezi ku obey au feelings za upendo atakuwa hana?
Au vyote viwili, hana utii na pia feelings za upendo nazo hana?
Kijana; usipokuwa makini utakuja kulielewa hili umeshachelewa sana. Nani kakwambia mwanamke ana feelings za upendo? Hayo wanayokuambia au kukuonyesha ni maigizo, mwanamke hapendi, anaweza kulala na mtu yeyote tu bila shida, au babu kizee ama msukule, Mwanamke hana kinyaa, yeyote anaenda nae tu.
Kama wewe huna uwezo na mwanamke anadumu na wewe ni anakuvumilia tu, lakini deep down anamtamani bosi wako, uvumilivu wake utafikia kikomo tu na usipofikia kikomo, basi atakulipizia uzeeni, kwa kudai kuwa ulimnyanyasa sana( kutompatia matunzo).
Sikia nikwambie, hata mimi nilikuwa ninaamini kuwa wanawake wanapenda, Lakini ukweli hauko hivyo.
Hata Biblia imewaambia kutii, sio kupenda.