Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

Pitia thread ya Mwanamke aliyepewa vyote na Mchepuko mpaka Kujengewa na Nyumba na Gari juu ila Anataka Kumuacha Aliyempatia Hivyo vitu.

Tafuta mwanamke anayekupenda siyo unayempenda wewe. Unajipeleka mwenyeww
SAHII mkuu[emoji4]
 
HAKUNA MWANAUME kamili anayehitaji kupendwa na Mwanamke labda vijana wa siku hizi.

Mwanaume tunapenda
Mwanaume ameumbwa kumfurahisha mwanamke Kwa kumpenda(kumtunza na kumhudumia)
SAHII kabisa,
Nilikua nawaambia vijana kua suala la Mchepuko wangu kunipenda halinihusu, chamuhimu aniheshimu na kunipa kilichobaki yangu[emoji4]
 
Nazani ni vyema kila mtu apambane na hali yake. Hatuwi kuwa wote wenye hela au wote maskini. #mke wa kweli ni pesa
 
You dont understand.

Women dont love, they obey. They were created to OBEY, not to LOVE.

Umeelewa, Mwanamke anatakiwa AKUTII, afuate unachotaka wewe. Ukimwambia aje geto kwako asubuhi na akaja, amekutii. Hajakupenda. Umeelewa dogo?

Hata kama una pesa mwanamke wa kweli hawezi ku-OBEY kama wewe ni dishonest atapenda hela zako ila feeelings za upendo atakuwa hana.

If you get a woman after you get money you've got yourself a liability she will need everything you can afford na akitokea anayeweza ku-afford zaidi utapigwa chini

Love needs money for survival sio luxutious
 
Watu wengi watapinga sana ila ndiyo ukweli, lately kutokana na mihamgaiko ya maisha nimejikuta najiuliza hivi ni kipi haswa mwanamke hutoa kwenye mahusiano?, au ni zile POLE na namuomba MUNGU awe nawe? Hivi hizi zinatosha kweli kusema kuwa umetoka mbali na mtu? Me nachosema mwanaume tafuta hela tu, na mwanaume ukiwa na hela kuchepuka ni ruhusa tunapata shida sana kutafuta...
N.B Ninaye mpenzi tunahabauana sema naona hawezi kunisaidia zaidi ya kisema pole tu
 
Anaepingana mtoa mada asome hii[emoji4]
22608d9372dc412a9ebaefbd7c7ecfc7.jpg
 
Inakuwaje sasa.Mwanamke anayependwa na kutimiziwa mahitaji yake yote anachepuka na kumpelea Mbususu yake dereva wa boda boda asie na kitu??

Hayo mahitaji yake yote anayotimiziwa ni yapi?
 
Umenena vyema, mweny skio askie na mawny macho aone yaliyoandkwa na mwandshi.

Sna cha kuongeza, mume mpende mkeo na mke muheshmu mumeo.
 
Hata kama una pesa mwanamke wa kweli hawezi ku-OBEY kama wewe ni dishonest atapenda hela zako ila feeelings za upendo atakuwa hana.

If you get a woman after you get money you've got yourself a liability she will need everything you can afford na akitokea anayeweza ku-afford zaidi utapigwa chini

Love needs money for survival sio luxutious
Hapo umechanganya, unasema hawezi ku obey au feelings za upendo atakuwa hana?

Au vyote viwili, hana utii na pia feelings za upendo nazo hana?


Kijana; usipokuwa makini utakuja kulielewa hili umeshachelewa sana. Nani kakwambia mwanamke ana feelings za upendo? Hayo wanayokuambia au kukuonyesha ni maigizo, mwanamke hapendi, anaweza kulala na mtu yeyote tu bila shida, au babu kizee ama msukule, Mwanamke hana kinyaa, yeyote anaenda nae tu.

Kama wewe huna uwezo na mwanamke anadumu na wewe ni anakuvumilia tu, lakini deep down anamtamani bosi wako, uvumilivu wake utafikia kikomo tu na usipofikia kikomo, basi atakulipizia uzeeni, kwa kudai kuwa ulimnyanyasa sana( kutompatia matunzo).

Sikia nikwambie, hata mimi nilikuwa ninaamini kuwa wanawake wanapenda, Lakini ukweli hauko hivyo.

Hata Biblia imewaambia kutii, sio kupenda.
 
Back
Top Bottom