Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli



Wanawake wanafanana Mkuu.

Niliwahi kuwa na Mkanada miaka kadhaa iliyopita. Hakuna tofauti yoyote na hawa dada zetu wa bongo
 
Wanawake wanafanana Mkuu.

Niliwahi kuwa na Mkanada miaka kadhaa iliyopita. Hakuna tofauti yoyote na hawa dada zetu wa bongo
Kuwa na mahusiano na Mkanada mmoja haitoshelezi. Ungeishi naye Canada kwa miaka kadhaa hapo ndipo ungefahamu tofauti ya status ya Wanawake katika jamii kati ya Tanzania na Canada. At the most basic level, you're probably right because almost every where, men rule.

But there are significant exceptions in countries where gender rights are law and the State takes care of disadvantaged women and children and these do not have to depend on men for their livelihood.

Mtoto halali njaa Ulaya, Serikali itamtunza. Sanasana ukiwa baba halafu ukaamua hutaki kumhudumia mtoto utalipa child support kwa makato kwenye mshahara wako na utadaiwa kama huwezi. Kwa USA wanakuweka jela hadi kieleweke na child support utalipa upende usipende.

Hizo ndizo sheria zinazodhibiti uwezo wa mwanaume mmoja kuzalisha Wanawake wengi kwa wakati mmoja, ilhali Mwanamke mmoja anaweza kubeba mimba ya Mwanaume mmoja tu kwa wakati.
 
Tunawanunua na wao wanatuuzia
Nakazia

Mwanamke humtii mwanaume atakayemfanya muda wowote apendeze na kuwaringishia wanawake wenzake, Avae vizuri kwenye Harusi au sherehe apendeze, aende kanisani na nguo mpya kila mara.
 
Wanawake wanafanana Mkuu.

Niliwahi kuwa na Mkanada miaka kadhaa iliyopita. Hakuna tofauti yoyote na hawa dada zetu wa bongo
Mimi sijawahi kwenda ulaya hata hivyo mwaka fulani walikuja wageni wazungu kutoka Finland, Sweden, na Denmark. Walikuwa wako zaidi ya 20 wanawake wote. wengine walienda Zanzibar, wengine Arusha, Dsm, na baadhi walienda Moshi, kilimanjaro walikaa kwa miezi mitatu kuna jambo liliwaleta. Aisee wale watu wakitaka kitu hawana aibu (hata sex) na yote kwa yote cost sharing policy iko kwenye damu hata kama mnafukuana mkienda sehemu anakwambia utakacholipa na atakacholipa yeye na sababu ya kufanya hivyo atakwambia. Wanasema kuwa kwao cost sharing ndio utamaduni nje na ndani ya familia. Lakini watanzania walioishi nje wanaweza kunielimisha zaidi kuhusu hilo maana kwangu sample ya watu 20 inanifanya nishindwe ku generalise my findings. Mlioishi ulaya mnajua zaidi kuhusu wanawake kama wote wako sawa kwenye mambo ya pesa kama wakina chausiku wa Temeke na mbagala au tamaduni zina nafasi ya kuendesha maisha ya wanawake, uchumi, na fedha.
 
Ww jamaa unakuwaga na madini flani hv
 
😍
 

Ni Kwa vile walikuja kwenu.
Wazungu wakija bongo ni tofauti na wakiwa kwao.

Hakuna watu Gold-digger Kama wanawake WA kizungu.
Amini nakuambia
 
Kitu kimoja ninachokukubali taikon la fasihi ni kwamba unaandika sana bila kukosea..big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…