Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utashangaa anae andika hivi kuwadharau bodaboda Ana salary ya laki Saba [emoji38][emoji38][emoji38]Inakuwaje sasa.Mwanamke anayependwa na kutimiziwa mahitaji yake yote anachepuka na kumpelea Mbususu yake dereva wa boda boda asie na kitu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utashangaa anae andika hivi kuwadharau bodaboda Ana salary ya laki Saba [emoji38][emoji38][emoji38]
Kweli kabisaMwanamke hawezi kukupenda Kama huna kitu, ukubali ukatae.
Lazima umhudumie kimwili na kihisia(moyo).
Haya madini kweli yameenda shule...Ww jamaa unakuwaga na madini flani hv
Kwaiyo mantiki ya mtoa mada,
Wanaume tutafute pesa mpk tunaingia kaburini[emoji4]
Ni kweli mkuu,hajakosea...sikuhiz wanawake tunapenda kwa manati...japo tukiamua kupenda twapenda kweli
SureKwa sababu unapata huduma fulani. Iwe ya kihisia au kimapato
Mke wangu Mimi nampenda na ananipenda,.
Unajua Nini ni kwamba,nilioa mke na mama wa watoto wangu
Sijafuata chura, Elimu wala energy yake
Mpaka Leo hii mke wangu havijui vitu vifuatavyo
1.kutumia smartphone,na mbwembwe zake zote
Instagram, Badoo sijui Facebook hajui kutumia
2.kusuka, anasuka kawaida kwake Dini imemkaa mpaka imepitiliza kwahiyo haweki Rasta,nywele zozote za kununua especially wigi.
3.Simu yake ikiita kipindi hicho Mimi nilikuwa mwepesi kuikimbilia kujua Nani anapiga
Lakini kamwe yeye hajawahi kufanya hivyo.
4.mwaka 2008 nilifumaniwa ile live bila chenga,nakumbuka alikasirika sana na kubwa akitaka tuachane
Nashukuru wazazi wangu walimchukua wakakaa naye takribani wiki mbili,nikamfuata tukayajenga.
Alifanikiwa kurudi japokuwa tuliishi bila kuongea yapata mwezi mzima
Wakati huo akili yangu ikiwaza lazima alipe KISASI kwa kitendo cha kunifumania
Nakumbuka niliweka mitego mingi ambayo sikufanikiwa niliigiza vitu vingi lakini sikufanikiwa kumnasa
Basi Kuna kipindi nilimwambia haifai yeye kukaa tu bila kazi,ni vema tukatafuta mtaji wowote ili tufungue biashara ili na tuongeze kipato
Nakumbuka aliniambia sawa Ila atanijibu baada ya wiki moja.
Naam,baada ya siku kufika aliniambia yupo tayari kufanya biashara yoyote Ila mtaji isiwe chini ya million ishirini.
Nilishangaa sana kwakuwa,hali ya maisha yetu alijua kifupi Mimi nilikuwa na bajeti ya million moja tu,Tena nimeisevu kwa mbinde.
Lakini yeye msimamo wake ukawa pale pale kuwa hawezi kufanya biashara chini ya 20 millions.
Basi, kwakuwa wazazi wake wanajiweza kiuchumi alinishauri twende kwa wazazi wake either tukaazime/kukopa mtaji or tukaombe msaada
Mimi nilipinga kwakuwa niliona aibu kwenda kuazima pesa ukweni ,lakini yeye alilazimisha kwamba Kama nahitaji yeye afanye biashara basi ni lazima aende
Kufupisha stori alienda akapewa million kumi si kwa kukopeshwa na mkwe akanipigia simu kuwa wameamua kutupatia hicho kiasi ili tupate kulelea wajukuu zao
Kweli alikuja na ule mzigo,kilichobaki ilikuwa ni kupanga Sasa ni biashara gani itafaa kufanya kwa mtaji wa million kumi na moja .na ile million yangu si nishaichanganya mule
Lakini wakati huo kidogo Mimi nikawa nyuma nyuma si unajua Tena mzigo wenyewe mwingi si wangu
Kwahiyo jukumu nikamwachia yeye Mimi nikabaki mshauri tu .
Shetani.
Kabla hata hatujapata location na aina ya biashara ya kufanya nikafumaniwa tena, hapa mke wangu aliongea mambo mazito sana tofauti na nilivyokuwa namdhania.
Lakini alinisamehe.na kuniambia Kama simtaki Basi nimuache .nikamsihi sana watoto wetu wawili wataishije Sasa
Omba,omba,omba sana msamaha
Nikasamehewa.
Fikira zangu zikawa zilezile huyu atalipa KISASI Tena Cha wazi lakini haikuwa hivyo
Cha ajabu akaniambia zile hela tufanye mpango wa kuanza ujenzi kidogo kidogo kwakuwa kiwanja tulikuwa nacho
Kwa madai kuwa atakapo kuwa na biashara yake ni rahisi ndoa kuvunjika,sikumwelewa Hadi leo
Akidai yeye anahisi ana heshimika akiwa kwenye ndoa na mtu mmoja kuliko kuolewa hapa Mara hapa
Mashoga na marafiki walimtolea lugha zote duniani kuwa anakuwaje nyuma hivyo,anafumania halafu katokea familia inayojiweza kidogo kwangu anang'ang'ania nini.
Lakini jibu likawa ni moja ALINIPENDA
Hisia zangu ni kuwa labda kwakuwa alinizidi umri wa mwaka mmoja.
NB: nimeikopi mahali.
Kwa uzoefu wangu huyo mwanamke alikuwa ni single mother yani mtoto mmoja alimzaa kabla ya kukutana na huyu mme wake kichecheMke wangu Mimi nampenda na ananipenda,.

Nafikiri kupitia kisasi Kwa kutomtimidhia matarajidio yake,Ko yeye atakunyosha Kwa sababu utakuwa umeishiwa nguvu tayari(Uzeeni).Kupitia watoto wenu atatumia trick ya watoto kukukomesha. Kwasababu yote hayo Mwanamke hana mapenzi ya kweli kwa mwanaume.Hapo mwisho
kwenye kukuadhîbu uzeeni kupitia watoto wenu îmekaaje?
Mkuu sema nimekoment kihisia siwaamini hawa viumbe , 2018 mwamke aliniachia watoto kasepa nawalea till now hivyo nimeona hapo kwàngu mama watoto ndyo mweny kes na wanaeNafikiri kupitia kisasi Kwa kutomtimidhia matarajidio yake,Ko yeye atakunyosha Kwa sababu utakuwa umeishiwa nguvu tayari(Uzeeni).Kupitia watoto wenu atatumia trick ya watoto kukukomesha. Kwasababu yote hayo Mwanamke hana mapenzi ya kweli kwa mwanaume.
Tumsubiri yeye atasemaje mleta mada.