Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

Kwa hii ya leo naona umepuyanga sana mzee. Umeonesha ni jinsi gani ni mweupe when it comes to women.

Wanawake wako kwa categories na utajilisha upepo ukiendelea na imani ya kuwa ili mwanamke akupende lazma umpe hela😂!!!

Ukitaka kuamini fatilia utakuja kugundua kila mwanamke ana interest tofauti when it comes to relationship perspectives. Kuna wanawake wapo hawapewi kitu zaidi ya stress na makofi juu toka kwa wachumba ama waume zao ila huwaambii kitu. Wamekufa wameoza yani. Ukimshauri aachane na mtu wake ni vita ya 3 ya dunia.

Kuna wanawake wengine ambao wanapewa kila kitu mahela yamejaa bank na magari na walinzi juu ila wanaenda kupeleka mbususu kwa vijana ma gardener tu ama watoto wanaoendesha boda boda na hela hizo wanazihonga.

Kuna wanawake ambao wana tamaa tu hawa ndio hupenda kupewa hela wakiamini kuhongwa ndio kupendwa. Hata wakiwa na uwezo ama mishahara wao hutaka wahongwe ndio wanajiskia wapo kwenye mahusiano wanayopendwa. Kundi hili ndio wanawake wengi sikuhizi wanaangukia humu na ndio imepelekea kuwa kama benchmark ya kufanyia sampling when it comes to women & relationship matters.

Mind you, mwanamke ili akupende unatakiwa uweze kumuingia kihisia na kiakili through negotiations. Si kila mwanamke atakupenda maana kupendwa kuko subjective to status yako.

Kwa mwanamke anayependa makuu hawezi kukuelewa kama huna materials stuffs na ku flash pesa zako. Yani huna gari huna hela una maneno matupu? Hiari itakuwa yako sasa kuingia bagamoyo

Kwa anayependa Physique kwa mwanaume ataangalia mwili wako umejengekaje mambo kama urefu, rangi, confidence n.k

Kwa wanaopenda Charisma then ukiwa mcheshi and humble kuna watakaokupenda maana wanavutiwa na hizo attitudes. Ukikutana na mwanamke wa hivi ukiwa una hizo sifa basi you got keys to her heart straight away.

Take time kuwaelewa zaidi watoto wa kike.
 
Mwanamke Hana mapenzi Kwa mwanaume hivyo ndivyo walivyoumbwa, na nature ndivyo ilivyo

Wanawake upendo wao upo Kwa watoto wao waliowazaa.

Wewe ndio huwaelewi na hutokuja kuwaelewa Kama utadhani na utabaki na msimamo wa kuwa mwanamke anaupendo Kwa mwanaume.

Ipo siku utanielewa.

Moyo ni mdanganyifu na unaugonjwa wa kutisha Nani awezaye kuujua.
WANAWAKE wanapenda Kwa kutumia moyo(hisia) na Upendo WA kweli haukai kwenye Moyo(hisia)

Mwanaume ndiye ameambiwa Apende kwani yeye ndiye mwenye upendo.
Kisha akaambiwa aishi na Mwanamke Kwa akili. Upendo WA kweli unaishi akilini.

Usipoelewa maelezo haya ukiwa kijana, utaelewa ukishakuwa Mzee.

Inahitaji akili kuelewa nilichoandika.
 
umbuka kila mwanamke anamatarajio yake ya maisha mazuri, hivyo unapokuwa Naye lazima uyatimize matarajio hayo ili azidi kukupenda(kukupa utiifu wake). Tofauti na hapo lazima akuadhibu uzeeni Kama sio Kwa maneno basi kupitia watoto wako uliyemzaa Naye.
nakazia
 
Wewe mwandishi ni misogynist (mchukia wanawake) uliyekubuhu unayejaribu kwa nguvu zako zote kutuaminisha maoni na mitazamo yako binafsi kuhusu wanawake iliyojaa chuki. Siyo kweli hayo unayoandika. Ungekaa nchi zilizoendelea ungejua kuwa wanawake na wanaume tabia zao huendana na tamaduni, mila, values, morals na uchumi wa jamii husika.
Tuletee wewe bandiko lako,usiechukia wanawake
 
Habari Wakuu!

Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika.

Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu.

Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao ilivyo. Wai kimsingi wameumbwa kutii tuu, mioyo yao haipo connected na wanaume, bali ipo connected na watoto watakaowazaa tuu.

Wakati moyo wa mwanaume umeumbwa kumpenda na kumlinda Mwanamke.

Asije akakudanganya Mtu kuwa mwanamke anakupenda, sio kweli, unadanganywa wewe.
Labda mwanamke huyo awe Mama yako mzazi,

Mwanamke humpenda mtu atakayeona anampenda,
Hata Kama Mwanamke Hakuwa na hisia na wewe, lakini ukimpenda Kwa kumjali na kumhudumia atakupenda automatically.

Upendo ni nini?
Upendo ni Kutoa

Mwanamke kama huna chakumpa hawezi akakupenda nakuhakikishia.

Ili uwe na upendo lazima uwe na chakutoa, na ili uwe na chakutoa lazima uwe na kazi inayokuingizia mapato.
Ndio maana amri za Mungu zinaeleza kabisa ufanye KAZI Kwa siku sita kisha upumzike siku Moja. Tafsiri yake ufanye kazi ili uwe na Upendo (upate Chakutoa).

Kula Kwa jasho ni amri aliyopewa MWANAUME, yaani kufanya kazi ni kwawanaume tuu. Wanawake hawakuumbwa Kupenda isipokuwa kupendwa. Hawakuumbwa kufanya kazi ili wapate mapato kwani hawako Kwa ajili ya kutoa isipokuwa kupewa.

Watu wengi wanawalaumu wanawake Kama dini inasema kuhudumia ndo kumpenda kwanini haijaturuhusu kuhudumia(kupenda zaidi ya mmoja au zaidi ya wanne)
Na huko kupenda ndo kutaka mbususu(Kuheshimiwa) au?
Maana wengi wanahudumia ili kupata mbusus(kuheshimiwa)

Kwahyo kuhudumia=kupenda=kutaka mbususu(heshima)

Tafsiri ya mtoa huduma-nataka mbususu
Tafsiri ya anayepewa huduma(ambayo pia ni tafsiri yako)-napendwa

Conclusion
Kwenye mahusiano yoyote kuna exchange kati ya huduma(pesa) na mbususu(heshima)
Mahusiano=biashara ya watu wawili kati ya mtoa pesa na mtoa mbususu
So wanawake wote-wauzaji au sio? na
Wanaume-wanunuzi(wateja)
Tusiwalaumu makahaba na wanunuzi wa mbususu maana hawana tofauti na hao wengine

Note;mbususu =heshima maana haiwezekani kusema unaheshimiwa usipopata mbususu

Nimetafsiri tu bandiko lako

Ntazamo wangu
Mwanamke hutaka chochote na akishapata atahitaji kingine
Mf:akiwa na shida ya pesa akishapata atahitaji show kali akishapata show kali atataka uwe na muonekano mzuri akishapata mwenye muonekano mzuri atataka mwenye mahaba au maneno mazuri akipata mwenye maneno mazuri atataka mwanaume nunda asiye muongeaji
Ndo maana wenye pesa wanagongewa na maskini vile vile anagongewa

Akili tuliyoambiwa tuitumie kuishi nao ni kuweza kubadilika badilika kutokana na mazingira ya muhitaji
 
Kuna watu wajinga wanashindwa kuelewa mambo madogo Kama haya.

Sheria za Dini karibu zote Duniani zinaeleza mwanamke apendwe(ahudumiwe)
Sheria za nchi karibu zote duniani zinaeleza ni lazima mume amtunze Mwanamke (ampenda)

Sasa Vijana wa siku hizi wasichoelewa sijui ni Jambo gani?
 
Upendo unatangulia ndio heshima ifuate.

Hivi Kwa akili ya kawaida mwanamke humtunzi, humhudumii Kwa kiwango anachotaka unafikiri atakuheshimu??
waeleweshe kabisa, kuna mmoja huku yeye kutwaaa anapiga simu, wakati hata chakula cha kuwapa watoto nyumbani hajaacha.
 
𝐇𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐚 𝐮𝐳𝐢 𝐦𝐫𝐞𝐟𝐮 𝐤𝐢𝐚𝐬𝐢 𝐡𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐢𝐬𝐚 𝐭𝐮 𝐦𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐢𝐨 𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐟𝐚 𝐳𝐢𝐬𝐢𝐳𝐨 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚, 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐚𝐭𝐚𝐛𝐚𝐤𝐢 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐝𝐮𝐦𝐞 𝐭𝐮, 𝐡𝐚𝐢𝐣𝐚𝐥𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐡𝐞𝐫𝐚 𝐚𝐮 𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐦𝐫𝐚𝐝𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐭𝐨𝐚 𝐦𝐛𝐞𝐠𝐮 𝐢𝐧𝐚𝐲𝐨𝐦𝐳𝐚𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐦𝐛𝐞
 
𝐇𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐚 𝐮𝐳𝐢 𝐦𝐫𝐞𝐟𝐮 𝐤𝐢𝐚𝐬𝐢 𝐡𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐢𝐬𝐚 𝐭𝐮 𝐦𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐢𝐨 𝐧𝐚 𝐬𝐢𝐟𝐚 𝐳𝐢𝐬𝐢𝐳𝐨 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚, 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐮𝐦𝐞 𝐚𝐭𝐚𝐛𝐚𝐤𝐢 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐝𝐮𝐦𝐞 𝐭𝐮, 𝐡𝐚𝐢𝐣𝐚𝐥𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐡𝐞𝐫𝐚 𝐚𝐮 𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐦𝐫𝐚𝐝𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐭𝐨𝐚 𝐦𝐛𝐞𝐠𝐮 𝐢𝐧𝐚𝐲𝐨𝐦𝐳𝐚𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐦𝐛𝐞

Kuna mwanaume maumbile
Kuna mwanaume Sifa.

Ili akamilike lazima awe na yote hapo.
Sasa unaweza kuwa na Cover ya kiume(umbile la kiume) lakini sifa za kike. Hapo ndipo utata unapoanza.
Hapo lazima ijalishe
 
Mwanamke anaweza jifunza Kupenda lakini sio Kwa mwanaume.

Mwanaume hajifunzi Kupenda, yeye ndio asili yake. Upendo WA mwanaume ni OG.
Upendo WA mwanamke ni Artificial.

Mwanaume Kama hakupendi jua hakupendi huna utakachokifanya akakupenda.

Lakini Kwa mwanamke hiyo ni tofauti kabisa
 
Back
Top Bottom