Si kama ndiyo biashara yenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama biashara Fulani
Kwa hii ya leo naona umepuyanga sana mzee. Umeonesha ni jinsi gani ni mweupe when it comes to women.
Wanawake wako kwa categories na utajilisha upepo ukiendelea na imani ya kuwa ili mwanamke akupende lazma umpe hela๐!!!
Ukitaka kuamini fatilia utakuja kugundua kila mwanamke ana interest tofauti when it comes to relationship perspectives. Kuna wanawake wapo hawapewi kitu zaidi ya stress na makofi juu toka kwa wachumba ama waume zao ila huwaambii kitu. Wamekufa wameoza yani. Ukimshauri aachane na mtu wake ni vita ya 3 ya dunia.
Kuna wanawake wengine ambao wanapewa kila kitu mahela yamejaa bank na magari na walinzi juu ila wanaenda kupeleka mbususu kwa vijana ma gardener tu ama watoto wanaoendesha boda boda na hela hizo wanazihonga.
Kuna wanawake ambao wana tamaa tu hawa ndio hupenda kupewa hela wakiamini kuhongwa ndio kupendwa. Hata wakiwa na uwezo ama mishahara wao hutaka wahongwe ndio wanajiskia wapo kwenye mahusiano wanayopendwa. Kundi hili ndio wanawake wengi sikuhizi wanaangukia humu na ndio imepelekea kuwa kama benchmark ya kufanyia sampling when it comes to women & relationship matters.
Mind you, mwanamke ili akupende unatakiwa uweze kumuingia kihisia na kiakili through negotiations. Si kila mwanamke atakupenda maana kupendwa kuko subjective to status yako.
Kwa mwanamke anayependa makuu hawezi kukuelewa kama huna materials stuffs na ku flash pesa zako. Yani huna gari huna hela una maneno matupu? Hiari itakuwa yako sasa kuingia bagamoyo
Kwa anayependa Physique kwa mwanaume ataangalia mwili wako umejengekaje mambo kama urefu, rangi, confidence n.k
Kwa wanaopenda Charisma then ukiwa mcheshi and humble kuna watakaokupenda maana wanavutiwa na hizo attitudes. Ukikutana na mwanamke wa hivi ukiwa una hizo sifa basi you got keys to her heart straight away.
Take time kuwaelewa zaidi watoto wa kike.
nakaziaumbuka kila mwanamke anamatarajio yake ya maisha mazuri, hivyo unapokuwa Naye lazima uyatimize matarajio hayo ili azidi kukupenda(kukupa utiifu wake). Tofauti na hapo lazima akuadhibu uzeeni Kama sio Kwa maneno basi kupitia watoto wako uliyemzaa Naye.
Tuletee wewe bandiko lako,usiechukia wanawakeWewe mwandishi ni misogynist (mchukia wanawake) uliyekubuhu unayejaribu kwa nguvu zako zote kutuaminisha maoni na mitazamo yako binafsi kuhusu wanawake iliyojaa chuki. Siyo kweli hayo unayoandika. Ungekaa nchi zilizoendelea ungejua kuwa wanawake na wanaume tabia zao huendana na tamaduni, mila, values, morals na uchumi wa jamii husika.
Comment yake tayari ni bandiko tosha kabisa, ila kwa watu wenye akili tu.Tuletee wewe bandiko lako,usiechukia wanawake
Na huko kupenda ndo kutaka mbususu(Kuheshimiwa) au?Habari Wakuu!
Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu.
Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao ilivyo. Wai kimsingi wameumbwa kutii tuu, mioyo yao haipo connected na wanaume, bali ipo connected na watoto watakaowazaa tuu.
Wakati moyo wa mwanaume umeumbwa kumpenda na kumlinda Mwanamke.
Asije akakudanganya Mtu kuwa mwanamke anakupenda, sio kweli, unadanganywa wewe.
Labda mwanamke huyo awe Mama yako mzazi,
Mwanamke humpenda mtu atakayeona anampenda,
Hata Kama Mwanamke Hakuwa na hisia na wewe, lakini ukimpenda Kwa kumjali na kumhudumia atakupenda automatically.
Upendo ni nini?
Upendo ni Kutoa
Mwanamke kama huna chakumpa hawezi akakupenda nakuhakikishia.
Ili uwe na upendo lazima uwe na chakutoa, na ili uwe na chakutoa lazima uwe na kazi inayokuingizia mapato.
Ndio maana amri za Mungu zinaeleza kabisa ufanye KAZI Kwa siku sita kisha upumzike siku Moja. Tafsiri yake ufanye kazi ili uwe na Upendo (upate Chakutoa).
Kula Kwa jasho ni amri aliyopewa MWANAUME, yaani kufanya kazi ni kwawanaume tuu. Wanawake hawakuumbwa Kupenda isipokuwa kupendwa. Hawakuumbwa kufanya kazi ili wapate mapato kwani hawako Kwa ajili ya kutoa isipokuwa kupewa.
Watu wengi wanawalaumu wanawake Kama dini inasema kuhudumia ndo kumpenda kwanini haijaturuhusu kuhudumia(kupenda zaidi ya mmoja au zaidi ya wanne)
nakazia
waeleweshe kabisa, kuna mmoja huku yeye kutwaaa anapiga simu, wakati hata chakula cha kuwapa watoto nyumbani hajaacha.Upendo unatangulia ndio heshima ifuate.
Hivi Kwa akili ya kawaida mwanamke humtunzi, humhudumii Kwa kiwango anachotaka unafikiri atakuheshimu??
๐๐๐ข๐ง๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฆ๐ซ๐๐๐ฎ ๐ค๐ข๐๐ฌ๐ข ๐ก๐ข๐ค๐ข ๐ค๐ข๐ฌ๐ ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐๐ฉ๐๐ฆ๐๐ข๐จ ๐ง๐ ๐ฌ๐ข๐๐ ๐ณ๐ข๐ฌ๐ข๐ณ๐จ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐, ๐ฆ๐ฐ๐๐ง๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐๐ญ๐๐๐๐ค๐ข ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐๐ฎ๐ฆ๐ ๐ญ๐ฎ, ๐ก๐๐ข๐ฃ๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐๐ง๐๐ก๐๐ซ๐ ๐๐ฎ ๐ก๐๐ง๐ ๐ข๐ฅ๐ข๐ฆ๐ซ๐๐๐ข ๐๐ง๐๐ญ๐จ๐ ๐ฆ๐๐๐ ๐ฎ ๐ข๐ง๐๐ฒ๐จ๐ฆ๐ณ๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ข๐ฎ๐ฆ๐๐
Kumbuka na hao utaowachagua nao wanapenda kwingine ndo inavokuaga alwaysSiku inakuja wanawake wengi watabaki wajipende wenyewe, wanazaliwa wengi kutulikoโฆ.. tunachagua wachache tu wa kuwapenda [kuwatumikia/kuwahudumia].
SanaaaMahusiano ni kitu OVYO sana.. mkuu
Ndo ujue hayana formulaInakuwaje sasa.Mwanamke anayependwa na kutimiziwa mahitaji yake yote anachepuka na kumpelea Mbususu yake dereva wa boda boda asie na kitu??
Si kweli"Mwanamke kama huna cha kumpa hawezi kukupenda nakuhakikishia.
(Hiyo point ).full stop
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Nakataa
Ndo ujue hayana formula