0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Nakazia
Mwanamke humtii mwanaume atakayemfanya muda wowote apendeze na kuwaringishia wanawake wenzake, Avae vizuri kwenye Harusi au sherehe apendeze, aende kanisani na nguo mpya kila mara.
Sio kila wiki nguo moja kama Sanda lazima utagombana na Mkeo na ataacha kukupenda(kukupa utiifu wake)
Wanawake hupenda kuangaliana wamevaaje, akipita mwanamke anajua anaangaliwa.
Sasa Kama umemvalisha masulupwete au kichwani anamsuko uleule usioeleweka unataka akuchekee, akupende(akupe utiifu wake)? Hilo haliwezekaniki.
Mwanamke anaacha kukupenda(kukupa utii wake) pale unapoacha kumpenda (kumhudumia na kumtunza)
Kadiri unavyohangaika kumpenda Mkeo ndivyo Naye anavyozidisha utiifu kwako.
Hivyo kanuni inaweza kuwa, Upendo unatangulia ndipo utiifu ufuate.
Sio mwanaume utake kutiiwa wakati hujatanguliza upendo(hujatoa chochote).
Vijana wa sasa hawajui falsafa na Miyazaki ya wanawake ndio maana wanapata shida kuhusiana nao.
Wanawashangaa mabinti pindi wanapokutana nao Kwa mara ya Kwanza alafu hata hawajazoeana wanaanza Kupiga vizinga, kuomba pesa sijui za nywele, sijui Kodi, sijui umeme miongoni mwa Huduma zingine.
Ndivyo wanawake walivyo, hawawezi kukupa utiifu wao kabla hujatanguliza upendo(kutoa Huduma na Matunzo Kwanza).