Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu; hii ndio hoja yako ya kumjibu Jamaa hapo juu aliyekuita mwana wa shetani?Tumeona namna Yesu aligaragazwa na kupokea dharau kali kama wewe ni mwana wa Mungu geuza haya mawe kuwa mkate, kama wewe ni mwana wa Mungu jiokoe msalabani, Adam na Hawa pamoja na onyo kali walilopewa wakaelezwa hilo ni biti tu kuleni hayo matunda na wakala kwahiyo mshindi ni aliyewashawishi kula, Ayubu akachapika waliposema wanamtii Mungu, Mitume ikiwemo Stephano walipigwa mawe hadi kufa walipojaribu kueneza mahubiri.
Mwana wa Ibilisi hujanijibu umeyasoma wapi haya?Tumeona namna Yesu aligaragazwa na kupokea dharau kali kama wewe ni mwana wa Mungu geuza haya mawe kuwa mkate, kama wewe ni mwana wa Mungu jiokoe msalabani, Adam na Hawa pamoja na onyo kali walilopewa wakaelezwa hilo ni biti tu kuleni hayo matunda na wakala kwahiyo mshindi ni aliyewashawishi kula, Ayubu akachapika waliposema wanamtii Mungu, Mitume ikiwemo Stephano walipigwa mawe hadi kufa walipojaribu kueneza mahubiri.
Anajua anafanya mambo ya baba yake shetani. Shetani hutembea kwenye udanganyifu na lugha za ghilba. Anatumia trick za baba yake!Hivi mkuu; hii ndio hoja yako ya kumjibu Jamaa hapo juu aliyekuita mwana wa shetani?
Yesu ndio aliumba vyote? kama ameumba vyote yy mama yake mariam kaumbwa nani km ndio aliyemzaa inamaana alivyozaliwa ndio akaanza kuumba vitu vingine kasoro alivyovikuta sijui viliumbwa na naniYesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?
Mbona Yesu alishashinda vita na shetani,hana nguvu tena kwa wao wamwaminio Yesu,kiufupi shetani c lolote c chochote.Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Nilitegemea jibu liwe Ndiyo au Hapana.Anajua anafanya mambo ya baba yake shetani. Shetani hutembea kwenye udanganyifu na lugha za ghilba. Anatumia trick za baba yake!
Kwa mwendo huu mtakesha na kuchoshana sanaYesu ndio aliumba vyote? kama ameumba vyote yy mama yake mariam kaumbwa nani km ndio aliyemzaa inamaana alivyozaliwa ndio akaanza kuumba vitu vingine kasoro alivyovikuta sijui viliumbwa na nani
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwenye issue ya Yesu kuwa mwanadamu na Mungu huwa nashindwa kuwaelewa ndugu zangu hawaelewi nini. Imagine wewe ukavikwa machuma ya roboti na ujawa roboti mpaka ile sauti.Kwa mwendo huu mtakesha na kuchoshana sana
Mungu alimuumba Yesu kwa lengo la yeye kuja duniani kama binadamu ili kuwakanya watu waache dhambi, hiyo ndiyo ilikuwa kazi ya Yesu, alipokuja akakutana na wahuni ndio wakafanya yao, ila Yesu sio Mungu ni mtoto wake aliyepewa majukumu ya utume,Kwenye issue ya Yesu kuwa mwanadamu na Mungu huwa nashindwa kuwaelewa ndugu zangu hawaelewi nini. Imagine wewe ukavikwa machuma ya roboti na ujawa roboti mpaka ile sauti. Ukikaa katikati ya maroboti si unakuwa roboti? Kuanzia kutembea mpaka kuishi. Ila unakuwa na asili nyingine ya ubinadamu ambayo inakupa uwezo wa kufanya na kufikiri zaidi ya maroboti.
Sasa kama hili linawezekana Mungu kuongeza asili ya ubinadamu shida nini?
Yesu fake huyo na hajawahi kuwepo.Mungu alimuumba Yesu kwa lengo la yeye kuja duniani kama binadamu ili kuwakanya watu waache dhambi, hiyo ndiyo ilikuwa kazi ya Yesu, alipokuja akakutana na wahuni ndio wakafanya yao, ila Yesu sio Mungu ni mtoto wake aliyepewa majukumu ya utume,
Nakazia: Kwa kweli na ni Ukweli mtupu kwamba Huyo ni Yesu fake.Yesu fake huyo na hajawahi kuwepo.
Unahitaji kuacha hicho unachotumia. Si kizuri kwa afya ya akili yako!
Yesu na nguvu zake zote alichukuliwa kiulaini na ibilisi. Akakaa naye siku 40.Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Ndiyo haswa kwa sababu anajua hiyo mafuta ni fix.Shetani hawezi ogopa mafuta aliyompa mtumishi wake.
Acha tu amenifanya nyama hadi sasa nipo nipo tuKuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Shetani mwenyewe yupo busy na mambo makubwa sana mfano kutatua vita ya Urusi na Ukraini, kutatua matatizo ya Corona, hana muda wa kusumbuana na watu.Acha tu amenifanya nyama hadi sasa nipo nipo tu
Ila hao wote ni wafuasi wakeShetani mwenyewe yupo busy na mambo makubwa sana mfano kutatua vita ya Urusi na Ukraini, kutatua matatizo ya Corona, hana muda wa kusumbuana na watu.
Wanaosumbua binadamu ni vibwengo, mapepo na Majini lakini lawama zote wanampa yeye pasipokujua. Ikumbukwe Shetani ni mamlaka makubwa sana,
Hao wanatamaa ya kuabudiwa na binadamu ndio maana wanasumbua watu wanataka nao kuwa kama yeye ndio maana wanakuwa wasumbufu sanaIla hao wote ni wafuasi wake
Aah Bhana; Acha. Usipotoshe watu kwa maandiko yako binafsi. Soma Mat.4:1-2 " ..Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka Jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. Akafunga siku arobaini mchana na usiku....." Unaweza pia kuisoma toka Marko 1:12-13.Yesu na nguvu zake zote alichukuliwa kiulaini na ibilisi. Akakaa naye siku 40.
Mathayo 4:1