Mkuu shetani siyo Lele mama. Nakupa mifano michache tu ujue ukuu wake na nguvu iliyoko kwake.
1. Kumbuka mkasa wa shetani na Ayubu. Ukifuatilia mazungumzo ya Mungu na shetani, utagundua shetani ana nguvu sana. Mungu alimsihi sana Asiutwae uhai wa Ayubu (asimuue). Kwa lugha nyingine Mungu hawezi kuzuia shetani asikuondoe hata kama unautakatifu wa kiwango Chote.
2. Kumbuka vita iliyopiganwa mbinguni. Fahamu nini maana ya vita kwanza. Haukuwa mchezo wa kuigiza. Ilimaanisha kumuua. Ama afe shetani au Mungu apinduliwe. Pamoja na vita kupiganwa sana huko mbinguni bado Mungu alishindwa kumuua shetani na malaika zake. Akashuka huku duniani na
3. Mipango mingi ya Mungu imekuwa ikitobuliwa na kuharibiwa na shetani. Angalia Mungu ameangamiza mara ngapi wanadamu. Lakini bado hajafanikiwa kutengeneza purity anayoitaka. Angalia safari ya Wana wa Israel na Mungu wao jinai shetani alivyowakengeusha mara zote. Mpaka Mungu alitaka kuwafyekelea mbali jangwani. Bila jitihada za Musa kumwambia Mungu awaache wasingekuwepo.
Kwa mifano hii na mingine mingi utatambua kuwa shetani siyo Lele mama, ila wakristo Wana mu underate sana.
1. Lkn Ayubu aliibuka kidedea!...shetani lile halina akili, linalipuka hovyo km moto wakifuu! na matisho meeengi! lilidhania linapigana na ayubu kweeli kuuumbe lilikuwa jiwe tu lile!
2.vita ya mbinguni Shetani alishindwa vibaya sana! Mpaka leo yuko mafichoni kuzimu, anaogopa watu, zamani si alikuwa anatamba tu live?? lkn siku hizi utamuona wapi shetani?? ......
hata ivo shetani mwenyewe pamoja na ubabe wake wooote! anamuomba Mungu ili awachape vizuri wana damu dhaifu km wewe!...... kumbuka Ayubu Shetani alimuomba Mungu Rukhusa ya kumchpa Ayubu
na akapewa! sasa ndo ujue shetani alivo mjinga si kaenda kumchpa kweli!!!
hapo ndo ujue shetani hana akili nzuri kabisaa!!.......
hata kwa akili za kawaida tu......Mtu Tajiri/uwezo... tena adui yako akwambie nenda kamchape miti mke/mwanangu weeee! mpaka achubuke utakubali? ... tena Mungu akakazia hapo ila ''muachie roho yake tu??''... .....
ninavo kuona weye kwa msimamo km huu utakubali, lkn Mtu/adui mwenye akili timamu, kamwe hagusi, wala kupoteza muda huo! hapa nakuonyesha kuwa Shetani hana akili nzuri! hata sasa ivi anakucheka!
3.wale wanadamu walioangamizwa hawakuwa wana wa Mungu, walikuwa ni wana wa shetani kupitia Cain! yamkini hata weye ni mmoja wao hao !! ... sababu Biblia ina sema Mwanamke ni Mama wa viumbe vyooote!
4.Purity anayoitaka Mungu ndo sisi! lkn wana wa Ibilisi kupitia Cain kamwe hawataiona! wapo tena wengi tu! humu Duniani usidhani uko peke yako! nakupa mfano mwingine ESau alikuwa mwana wa Ibilisi yule! km jiwe tu!
5, Mungu yeye anakupa uhuru uchague unalo taka kufanya lkn adhabu yake anaiweka pia! kwa mfano km nyie mnao mkubali ibilisi! kuna ziwa la moto linawasubiri!....
mtalia sana na kusaga meno na muda wenu unakaribia na mwisho! shetani mnampenda sana
Sawa kabisa! lazima mumuogope tu!! hakuna namana lkn jiulize Ayubu alishinda au alishindwa Mkuu!