Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Sura yako ichorwe kwenye yale mawe ya ziwa victoria kama ukumbusho wa Super woman
 
Hak
Mhh nina mashaka
 
Hata biblia inasema Wanaume wapendeni wake zetu, nanyi wake watiini waume zenu

Mume ni kichwa cha familia
 
Hata biblia inasema Wanaume wapendeni wake zetu, nanyi wake watiini waume zenu

Mume ni kichwa cha familia


Kabisa kabisa Joseverest "Maana Mungu aliupenda ulimwengu hivi hata akamtoa Mwana wake wa pekee"

KUPENDA ni KUTOA
Na mwanaume yeyote mwenye kupenda kweli anatiiwa sana sana
 
,πŸ’―
 
Mnacomplicate sana mambo aiseee... mahusiano sio serious hivyo, wengine tunaishi nao wala hawacomplicate mambo mnaenjoy tu maisha na heshima ipo automatically bila shuruti.
Watu wawili matured wenye nia ya kujenga familia na wanaosimamia nafasi zao accordingly wala haya magazeti haya maana.

Mahusiano yanajitune yenyewe kulingana na hali za watu husika.

Eti "TIA MAKOFI" upuuzi mtupu ni binti yako huyo?
 
bado maadui wa kweli kwenye maisha ya mtanzania ni tumbo na mahusiano
 
Kuna watu wanasema uvumilie ili amani iwepo kwenye mahusiano, sijui wanavumiliaga nn, Ukizingua inabid uzinguliwe kweli akili ikukae sawa
 
usikwepe migogoro, nasisitiza hii ni point ya msingi sana kwa afya ya mahusiano..😊
 
Uko sahihi ,ubarikiwe
 
Piga ua galagaza utawanasa wanawake maskini tu ndugu yangu; Mwanamke mw hela zake kamwe hatoweza kunyanyaswa na huo uanaume wako; pili km bado kijana na mzuri ndo kabisa more likely kukupiga chini Wewe kwa mtu mwingine. Naona insecurity tu hapo cjui umfanye nn cjui nn why all that energy na maisha mafupi Ivi? Tafuta unayeendana na ambaye anapenda izo roles or else it will be chaos tu; na kwa wanaume wa maskini au wenye kipato cha kawaida it doesn't work eti yeye alete kila kitu coz hawezi afford so men need help kw women sana for most cases. Hao akina Dewji na matajiri wengine ndo wanaweza ku afford mwanamke abaki ndan and mwanaume aprovide kila kitu. Ila mwenzenu na nyie laki 5 kwa mwez na watoto unataka abaki ndan akuabudu kila cku???😝😝😝
 
You must be talking from your own experience.Bt umenena ukweli mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…