Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Umesahau kuwashauri kwamba wahakikishe hawa fall in love.

Wanaume mkipenda vizuri mnakuwa mazoba na nikuhakikishie palipo kupenda kweli hayo yote uliyowashauri hayafanyi kazi.

Mkifinyiwa kwa ndani mara mbili tatu mnasahau kanuni zote halafu kanuni za mwanamke ndio zinaingia kazini.
Hapendwi mtu maniner, unakula soseji tukifunga zoezi ni mpaka siku nikijiskia nakuhitaji tena. Mambo ya assimilation policy ni uongo.
 
Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!.

Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora".

Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe.

👉Ni kosa Kubwa sana kumuishi mwanamke kidemokrasi !!
Piga ua garagaza, Mahusiano hayahitaji demokrasia, Mahusiano yanahitaji yawe na KIONGOZI na huyo Kiongozi lazima awe DIKTETA ( Mkoloni ) ushawah jiuliza Kwannn Wanawake wananata Kwa watu wababe wababe, waso chekacheka naye kijinga jinga ?. Kafanya jambo la ovyo, Muonye, kaleta ujinga, kunja sura, kazidisha ujingaz Tia makofi , yaan ni kwamba ajue wewe ndio KIONGOZI.

👉Usimuweke mwanamke kipaumbele ,yaan hata kama ni mkeo , Usimuweke kipaumbele ,Kipaumbele chako kiwe ni missions zako za Maisha, mwanamke mfanye awe option ya pili au ya tatu au ya nne au hata ya Tano .
Sikia najua wakati mnafanyiana intavyuu za mitongozo utasikia mwanamke anakuambia, nataka mwanaume anifanye Mimi kipaumbele chake Cha kwanza ... Acha Uboya wewe..... Maisha yako ndio yawe kipaumbele , Bro women are naturally attracted to men of purpose , nyiee wahuni, kiasili kabisaaa Toka moyon mwa mwanamkez wanapenda wavutiwe na wapate nafasi Kwa Mwanaume mwenye mission zake ,anayepambana na Maisha yake Kwa juhudi ....
Nawapa Mfano ... Kwan Suala la MBAPE kuwateka wanawake, mlidhan ni ni mwonekano wake ??. Hamnaa, ni zile juhudi alizozionyesha Ile siku ya fainali... Kama mnabisha, kama mnabisha, jiulizeni, kwann kabla ya siku ile ya fainali, walikua hata hawamsifiii MBAPE MBAPE MBAPE?? Why Ile siku??.

👉Usifanye mwanamke ajione yuko kwenye Mahusiano stable , hakikisha mwanamke wako anajua, akileta mzaha unapiga chini, unaokota chombo kingine...
Ipo hivi ,anapoona Mahusiano au Ndoa yenu imetuliaaaaa sana, anatoka kwenye Hisia na kuanza kutumia akili nahapo ndio ataanza kushangaa, una madhaifu gan.... Sasa hapa Kuna ujanja ambao inabidi uutumie ilie Bichwa lake lisiwe kubwa na akuone akikupoteza tu ndo atakua kapoteza Mwanaume wa Maisha yake ... Nilishaeleza sana hili....

👉Acha kufikiri kwamba Mwanamke atakupenda Kwa jinsi ulivyo siku zote ...
Aminin nawaambia, hakikisha siku zote unapambana kujiboresha wewe ,kuyaboresha Maisha yako, hata kama human ila aone juhudi zako na mipango .

👉Usiukwepe Wala usiukimbie Uanaume wako
Ninazungumzia uanume kwelikweli, Kuna watu watakua habari za 50/50 , acha ujingaz mwanaume ni mwanaume na Lazima u exercise Uanaume wako Daima, hamna kitu kibaya sana hapa Dunian kama ukuta Mwanaume mwenye umama Mama ndio anayeendesha Dunia .

👉Usifiche changamoto zako muda wote
ni kweli niliwahi wapa kanuni Moja isemayo "Usiache mwanamke aone chozi lako ".. Sasa hii kanuni Kuna Mahali unaiweka pemben ,. Kuna wakati Wanawake wanataka wafeel Ile sense ya "Umama yaan Mama aliyezaaa mtoto ,mama anamlea mwanaye " Sasa inapofikia mwanamke Wako anajiona Hana nafasi ni useless kwako, Mpe nafasi ya kukulea yaaan ajione ni Mama ( sio kulea kimatumizi Mbwa wewe ,utatiwa kidole, Hata Ivo inapotokea anafanya Kwa Moyo wake, kupokeaa, muache a exercise Uanamke wake, anajihisi Faraja sana kulea .

👉Usikwepe migogoro
Kuna jamaa Huwa mnanichekesha Sanaa, unakuta jamaa wanatumia Kila wanaloweza kuhakikisha migogoro haipo.... Wewe nani kakuambia ?? Siku zote utulivu ukipita kiasi, mapenzi yanaboa sanaz na yakiboaa, utaona anaanza kutafuta penye mikiki mikiki.... Ushawah jiuliza kwann wanawake wanaweza kuuamua tu kukuchokoza ili mgombane??? .

sikiaa Tena Kuna wakati unatakiwa wewe Mwanaume, Uanzishe mgogoro ambao unaweza kuucontrol wewe mwenyewe na kuupa solution wewe mwenyewe .... Yaaan unamliza- unamfurahisha wewe mwenyewe , hiii kitu Huwa inaimarisha bond ya Mahusiano...

Acha ubishi... , ni katika nyakati za majonzi na magumu ndio couples huwa wenye hutengeneza bond ya kweli, na hii huwafanya Wanawake wawe addicted Nawewe zaidi.

mfano wa huo mgogoro...

wee mwambie " Yaan Kuna Wanawake wa ajabu sana, mwanamke Mmoja Leo kazin si kaamua kuniambia óhooo Carlos nakupenda, nimekua nahisia Nawewe , nakutaman sanaaa ,nipe nafasi ".

hapa atataka kujua nini umefanya ndio? Mwambie tu , nimemwambia Sina nafasi yakumpa maana nmeoa.

hii itamzalishia Mgogoro wa nafsi juu yako, lakini bado Jibu lako linamfanya awe na kiholo Cha kutaka kujua kinachoendelea siku zote , Nawewe hapa unageuza kibao, unazidi kua unamsifia sifia ivoivo , Sasa hiii Huwa inamfanya mwanamke ajikite anakua mtumwa kwako pasipo yeye kujijua.

Mjali kwa Uwezo wako ulonao na unapoweza, Kisha peleka moto.
Hii collectively tunaita "Puting a woman in her place" ukishindwa kumuweka mwanamke wako kwenye nafasi yake utakuwa kila siku unaachwa.
 
Facts fikirishi. Nice message we have here. Na kweli binafsi kukitokeaga kamgogoro baina yangu na Mr afu tukausolve ndo ile mafeelings huwa yanazidi aisee.

Kuna kaka angu mmoja alinipaga tip ambayo naishi nayo kibingwa akanitelli, "mademoiselle usimfanye mme wako kihongwe mdogo wangu. Tambua nafasi yako. Usimpigie makelele. Usiwe stress kwake. Akija kuniomba ushauri juu ya ujinga utakaomletea nitamwambia ondoka hapo kwa muda. Yani ondoka usiku usiku, tafuta mahali pa kwenda au kulala hata ni lodge. Asubuhi nenda kazini. Ukitoka pita nyumbani salimia acha hela afu beba nguo na viatu kwenye kibegi. Yani akuonyeshe kwamba ana mwanamke mwingine ili uhahe. Na sitakusaidia. Wewe simama kwenye nafasi yako af sometimes jifanye fala. Uone kama mwanaume hatakupenda."

Kuna muda tunatakiww tuwe mafala na tufunge macho. Tukiapply kanuni ya upole na hekima ama kunyamaza sometimes. Afu kuendelea kusimama katika nafasi zetu. Its the best remedy. Mwanaume hata awe dikteta vipi. Mwanamke akiwa mtii, mpole na mnyenyekevu udikteta hauna nguvu. Maana hata akija kukuaattack anakukuta na samahni kibao. Au pole kibao. Na akifanya jambo makusudi kucheck reaction anakukuta umetulia na kunyamaza kama sio wewe. Tena kama huoni. Atajiona mpumbavu. Atafanya yaliyo sawa. Utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Kupendwa zaidi na yeye kujirekebisha. Thinkin out loud here....
Hii kanuni ni universal na inafanya kazi kwa wanaume wote wanaojitambua by 98%
 
Hiyo mtajua wenyewe. Ila una hela za dagaa, umemkuta mwanamke ana maisha yake unataka umpande kichwani. Kwani kuachana shillingi ngapi. Nna rafki yangu ni head of project kwenye NGO kubwa sana. Ana date na mkaka mwaka wa sita hana kazi, anaishi nae aisee huyo kaka ana amri sio poa, nyumba ni ya mwanamke ila hataki ndugu wa mkewe pale, alifika hatua akataka mshahara wa mkewe aupangie matumizi yeye. Eti kisa mwanaume🤣 ndo maana kuna sampuli huwa nazidharau sana yani gari la mwanamke, mali zake, anamvisha. Na anasaidia hadi ukweni ila jamaa boya. Na humu jf yupo kuna siku alijichanganya akafungua code🤣 mada anazotoa ni za amri. Huwa nacheka kinoma. Ipo siku nitamtaja
Nashukuru sahizi nimeelewa kwanini uko so bitter na wanaume. Una tatizo kubwa sana kisaikolojia ila sio kosa lako bali la yule mzazi wako. Mi nakuombea upate mtu akuoneshe mapenzi sana ili uponyeke na hio hali.

Hakuna sababu ya kumshangaa huyo rafiki yako na jamaa yake. Thats how love is, unapompenda mtu unabeba na madhaifu yake. Too bad wewe unaona ajabu ila wao ndio wanapendana hivyo yani. Jamaa ataendelea kuwepo tu wala usiingilie mahusiano yao utakuja kuonekana mchawi. Haibadilishi ukweli kuwa jamaa anakosea kwa kiasi kikubwa kuwa so manipulative ila dunia itamfunza huko mbeleni.
 
We utakuwa mnyanyasaji sana wa wanaume yani tena hasa ukiwa na vichenchi yani namuonea huruma sana jamaa atakayejichanganya 🤣🤣🤣 maana una kiburi cha wazi sana.
 
Hiyo ya kwanza hiyo…eti unipige?? Hehee…thubutuuu ..umenizaa unipige? Ndo utanijua mimi nani na uso wako uliokunja.
Ukipigwa kwa haki utalalamika? Mumeo anaekupenda umemjibu utumbo kakuwasha kibao utampeleka polisi?
 
Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!.

Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora".

Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe.

[emoji117]Ni kosa Kubwa sana kumuishi mwanamke kidemokrasi !!
Piga ua garagaza, Mahusiano hayahitaji demokrasia, Mahusiano yanahitaji yawe na KIONGOZI na huyo Kiongozi lazima awe DIKTETA ( Mkoloni ) ushawah jiuliza Kwannn Wanawake wananata Kwa watu wababe wababe, waso chekacheka naye kijinga jinga ?. Kafanya jambo la ovyo, Muonye, kaleta ujinga, kunja sura, kazidisha ujingaz Tia makofi , yaan ni kwamba ajue wewe ndio KIONGOZI.

[emoji117]Usimuweke mwanamke kipaumbele ,yaan hata kama ni mkeo , Usimuweke kipaumbele ,Kipaumbele chako kiwe ni missions zako za Maisha, mwanamke mfanye awe option ya pili au ya tatu au ya nne au hata ya Tano .
Sikia najua wakati mnafanyiana intavyuu za mitongozo utasikia mwanamke anakuambia, nataka mwanaume anifanye Mimi kipaumbele chake Cha kwanza ... Acha Uboya wewe..... Maisha yako ndio yawe kipaumbele , Bro women are naturally attracted to men of purpose , nyiee wahuni, kiasili kabisaaa Toka moyon mwa mwanamkez wanapenda wavutiwe na wapate nafasi Kwa Mwanaume mwenye mission zake ,anayepambana na Maisha yake Kwa juhudi ....
Nawapa Mfano ... Kwan Suala la MBAPE kuwateka wanawake, mlidhan ni ni mwonekano wake ??. Hamnaa, ni zile juhudi alizozionyesha Ile siku ya fainali... Kama mnabisha, kama mnabisha, jiulizeni, kwann kabla ya siku ile ya fainali, walikua hata hawamsifiii MBAPE MBAPE MBAPE?? Why Ile siku??.

[emoji117]Usifanye mwanamke ajione yuko kwenye Mahusiano stable , hakikisha mwanamke wako anajua, akileta mzaha unapiga chini, unaokota chombo kingine...
Ipo hivi ,anapoona Mahusiano au Ndoa yenu imetuliaaaaa sana, anatoka kwenye Hisia na kuanza kutumia akili nahapo ndio ataanza kushangaa, una madhaifu gan.... Sasa hapa Kuna ujanja ambao inabidi uutumie ilie Bichwa lake lisiwe kubwa na akuone akikupoteza tu ndo atakua kapoteza Mwanaume wa Maisha yake ... Nilishaeleza sana hili....

[emoji117]Acha kufikiri kwamba Mwanamke atakupenda Kwa jinsi ulivyo siku zote ...
Aminin nawaambia, hakikisha siku zote unapambana kujiboresha wewe ,kuyaboresha Maisha yako, hata kama human ila aone juhudi zako na mipango .

[emoji117]Usiukwepe Wala usiukimbie Uanaume wako
Ninazungumzia uanume kwelikweli, Kuna watu watakua habari za 50/50 , acha ujingaz mwanaume ni mwanaume na Lazima u exercise Uanaume wako Daima, hamna kitu kibaya sana hapa Dunian kama ukuta Mwanaume mwenye umama Mama ndio anayeendesha Dunia .

[emoji117]Usifiche changamoto zako muda wote
ni kweli niliwahi wapa kanuni Moja isemayo "Usiache mwanamke aone chozi lako ".. Sasa hii kanuni Kuna Mahali unaiweka pemben ,. Kuna wakati Wanawake wanataka wafeel Ile sense ya "Umama yaan Mama aliyezaaa mtoto ,mama anamlea mwanaye " Sasa inapofikia mwanamke Wako anajiona Hana nafasi ni useless kwako, Mpe nafasi ya kukulea yaaan ajione ni Mama ( sio kulea kimatumizi Mbwa wewe ,utatiwa kidole, Hata Ivo inapotokea anafanya Kwa Moyo wake, kupokeaa, muache a exercise Uanamke wake, anajihisi Faraja sana kulea .

[emoji117]Usikwepe migogoro
Kuna jamaa Huwa mnanichekesha Sanaa, unakuta jamaa wanatumia Kila wanaloweza kuhakikisha migogoro haipo.... Wewe nani kakuambia ?? Siku zote utulivu ukipita kiasi, mapenzi yanaboa sanaz na yakiboaa, utaona anaanza kutafuta penye mikiki mikiki.... Ushawah jiuliza kwann wanawake wanaweza kuuamua tu kukuchokoza ili mgombane??? .

sikiaa Tena Kuna wakati unatakiwa wewe Mwanaume, Uanzishe mgogoro ambao unaweza kuucontrol wewe mwenyewe na kuupa solution wewe mwenyewe .... Yaaan unamliza- unamfurahisha wewe mwenyewe , hiii kitu Huwa inaimarisha bond ya Mahusiano...

Acha ubishi... , ni katika nyakati za majonzi na magumu ndio couples huwa wenye hutengeneza bond ya kweli, na hii huwafanya Wanawake wawe addicted Nawewe zaidi.

mfano wa huo mgogoro...

wee mwambie " Yaan Kuna Wanawake wa ajabu sana, mwanamke Mmoja Leo kazin si kaamua kuniambia óhooo Carlos nakupenda, nimekua nahisia Nawewe , nakutaman sanaaa ,nipe nafasi ".

hapa atataka kujua nini umefanya ndio? Mwambie tu , nimemwambia Sina nafasi yakumpa maana nmeoa.

hii itamzalishia Mgogoro wa nafsi juu yako, lakini bado Jibu lako linamfanya awe na kiholo Cha kutaka kujua kinachoendelea siku zote , Nawewe hapa unageuza kibao, unazidi kua unamsifia sifia ivoivo , Sasa hiii Huwa inamfanya mwanamke ajikite anakua mtumwa kwako pasipo yeye kujijua.

Mjali kwa Uwezo wako ulonao na unapoweza, Kisha peleka moto.
Umemaliza kila kitu
 
Umesahau kuwashauri kwamba wahakikishe hawa fall in love.

Wanaume mkipenda vizuri mnakuwa mazoba na nikuhakikishie palipo kupenda kweli hayo yote uliyowashauri hayafanyi kazi.

Mkifinyiwa kwa ndani mara mbili tatu mnasahau kanuni zote halafu kanuni za mwanamke ndio zinaingia kazini.
Hizo za kufinyiwa kwa ndani cku hizi tunazipata kwa malaya wazur kuliko madem zetu[emoji16]
 
We utakuwa mnyanyasaji sana wa wanaume yani tena hasa ukiwa na vichenchi yani namuonea huruma sana jamaa atakayejichanganya 🤣🤣🤣 maana una kiburi cha wazi sana.
Kwahiyo huyo marioo hapo ni shujaa wako au sio? Na wewe ni kundi hilo hilo ndo maana unatoa povu
 
Nashukuru sahizi nimeelewa kwanini uko so bitter na wanaume. Una tatizo kubwa sana kisaikolojia ila sio kosa lako bali la yule mzazi wako. Mi nakuombea upate mtu akuoneshe mapenzi sana ili uponyeke na hio hali.

Hakuna sababu ya kumshangaa huyo rafiki yako na jamaa yake. Thats how love is, unapompenda mtu unabeba na madhaifu yake. Too bad wewe unaona ajabu ila wao ndio wanapendana hivyo yani. Jamaa ataendelea kuwepo tu wala usiingilie mahusiano yao utakuja kuonekana mchawi. Haibadilishi ukweli kuwa jamaa anakosea kwa kiasi kikubwa kuwa so manipulative ila dunia itamfunza huko mbeleni.
Kwa bahati nzuri wa kunipenda ninae. Na wala siko bitter ila ni upumbavu mnaojazana humu naujua mwisho wake. Wanaume muache kujimwambafy wakati hampo responsible kwenye familia. Utawala uendane na kujituma. Marioo hii mada imewauma sana.

Sad enough huyo rafiki yangu hadi anasimulia ni kwamba ameshaomba divorce mwanaume anataka wagawane mali ambazo kazikuta kwa msichana😂sie hayatuhusu na kuna vitu vinachekesha. Madhaifu yanabebwa mtu akichoka si anayatua hiyo watajua wenyewe
 
🤣🤣🤣umenifurahisha hapo kwenye "umfanye mwanamke wako ajue hayupo kwenye mahusiano stable!!!
Hiyo huwa inachangamsha bongo Sana unakuwa Kama unapambania kombe hivi kila siku unabuni mbinu za kuboresha penzi
Kuna mchepuko wangu , Sasa yeye ana Ofisi ya huduma Fulani

Kila Mara napoenda Kumtembelea pale, nikimkuta na mashoga zake, nikifika namsifia Shoga yake .

Sasa kila Shoga yake, narudia Kila shoga, nikishaondokaz anaanza kumwambiaz Huyo Mkaka ni Bwanako? Jaman Mkaka Msafiiii, Mkaka ananukia , Nimempenda.

Sasa Mchepuko amejikuta na kazi ya kuniambia Kila siku, yule Dada Kasema anakupend, Hivi G una Dawa ?? Hiyo Dawa yako hapanaz naumia sana Kila unapenda tuuu , Sasa Mimi ndio sitakaa kukuacha.

Haya yupi mwingine... Siku Moja kapiga simu, bahati mbaya nilikua na huyu Mchepuko wa juu hapo.... Nikapokea nikamwambia Niko na mwanamke mwenzio ( Kwa utani nikachomekea ni rafiki yangu banaa).

Nikampa simu aongee Naye, wameongea, Mchepuko anamwambia eeehhh tujibane tu hapahapa ilimradi Kila mtu na nafasi yake, yule Mchepuko mwingine akawa anaongeaaa wee kama Moyo unamuuma.... Kwa ufupi sijawah mtuliza .. nikichelewa Jibu meseji utasikia, G ulikua na mwanamke??... G haujstombana kweli?. Yaaan muda wote yupo na kiholo na hajui Kwa kufanya Ivo anazidi kunipenda .

Yupo mwingine nilienda kazin kwao, nikamkuta na Rafiki yake, Ile nataka kuondokaz nikamwomba rafiki yake namba mbele yake.
Akajinunisha weeee , amejikuta Kila Mara anataka kujua kama nawasiliana na Rafiki yake , Sasa ndo mapenzi amezidisha.

Kuna Mwingine ,nikimwambiaga niletee Kumaa, akijifanya ana ubize .namwambia poaaz ngoja nijue nafanyaje maana shahawa lazima zitoke... Haichukui muda, keshanitext, Haya nakuja ,usije ukamtomba mwingine bureeee .

Mambo ni mengi sanaz ila HAKIKISHA MWANAMKE UNAMUWEKA KWENYE HALI YA KUSHINDANIA KOMBE KILA SIKU NA HAKIKISHA, UNAMPIGA MASHINE HASWAA, NA UNAMJALI.
 
Dah,wewe unawatesa watoto wa watu Sana!😂😂😂😂hapo Ni Kama wapo makutupora yaani
 
Facts fikirishi. Nice message we have here. Na kweli binafsi kukitokeaga kamgogoro baina yangu na Mr afu tukausolve ndo ile mafeelings huwa yanazidi aisee.

Kuna kaka angu mmoja alinipaga tip ambayo naishi nayo kibingwa akanitelli, "mademoiselle usimfanye mme wako kihongwe mdogo wangu. Tambua nafasi yako. Usimpigie makelele. Usiwe stress kwake. Akija kuniomba ushauri juu ya ujinga utakaomletea nitamwambia ondoka hapo kwa muda. Yani ondoka usiku usiku, tafuta mahali pa kwenda au kulala hata ni lodge. Asubuhi nenda kazini. Ukitoka pita nyumbani salimia acha hela afu beba nguo na viatu kwenye kibegi. Yani akuonyeshe kwamba ana mwanamke mwingine ili uhahe. Na sitakusaidia. Wewe simama kwenye nafasi yako af sometimes jifanye fala. Uone kama mwanaume hatakupenda."

Kuna muda tunatakiww tuwe mafala na tufunge macho. Tukiapply kanuni ya upole na hekima ama kunyamaza sometimes. Afu kuendelea kusimama katika nafasi zetu. Its the best remedy. Mwanaume hata awe dikteta vipi. Mwanamke akiwa mtii, mpole na mnyenyekevu udikteta hauna nguvu. Maana hata akija kukuaattack anakukuta na samahni kibao. Au pole kibao. Na akifanya jambo makusudi kucheck reaction anakukuta umetulia na kunyamaza kama sio wewe. Tena kama huoni. Atajiona mpumbavu. Atafanya yaliyo sawa. Utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Kupendwa zaidi na yeye kujirekebisha. Thinkin out loud here....
Hiki ndo kinanikuta kwa MKE wangu mamaG, naweza kuja maksud kumvuruga ila ule upole wake na kutekeleza wajibu wake nabaki najilaumu ni Ujinga Gan huu ntk kufanya,Mbona Sion tatizo kwa wife🤔
 
Dah,wewe unawatesa watoto wa watu Sana!😂😂😂😂hapo Ni Kama wapo makutupora yaani
😂😂😂Hiii inanipa Amani sana, hawanisumbui, badala yake wao ndo wanasumbuka kunituliza.

Sasa Kuna watatu hao nafasi zao zakazi nizile zakuchaguliwa , wawili kuchaguliwa na Samia...Mmoja kuchaguliwa na Wananchi.

Ninavyowapelekesha, wanavyoliaaa ,yaan unakuta mtu anapambana sana nitulie naye ,, basi unakuta wananifanyia mambo makubwaaaaa Et mradi nitulie jaman khaaaaa

Namm hata sielewi
 
Back
Top Bottom