Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

Nimejikuta natamani kusikia mengi toka kwako, pia upewe nafasi ya kuielezea dunia inavyozidi kupotea juu ya hiyo 50/50. Hongera sana kwa kulitambua hilo gape
.
Asante na karibu
 
Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!.

Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora".

Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe.

👉Ni kosa Kubwa sana kumuishi mwanamke kidemokrasi !!
Piga ua garagaza, Mahusiano hayahitaji demokrasia, Mahusiano yanahitaji yawe na KIONGOZI na huyo Kiongozi lazima awe DIKTETA ( Mkoloni ) ushawah jiuliza Kwannn Wanawake wananata Kwa watu wababe wababe, waso chekacheka naye kijinga jinga ?. Kafanya jambo la ovyo, Muonye, kaleta ujinga, kunja sura, kazidisha ujingaz Tia makofi , yaan ni kwamba ajue wewe ndio KIONGOZI.

👉Usimuweke mwanamke kipaumbele ,yaan hata kama ni mkeo , Usimuweke kipaumbele ,Kipaumbele chako kiwe ni missions zako za Maisha, mwanamke mfanye awe option ya pili au ya tatu au ya nne au hata ya Tano .
Sikia najua wakati mnafanyiana intavyuu za mitongozo utasikia mwanamke anakuambia, nataka mwanaume anifanye Mimi kipaumbele chake Cha kwanza ... Acha Uboya wewe..... Maisha yako ndio yawe kipaumbele , Bro women are naturally attracted to men of purpose , nyiee wahuni, kiasili kabisaaa Toka moyon mwa mwanamkez wanapenda wavutiwe na wapate nafasi Kwa Mwanaume mwenye mission zake ,anayepambana na Maisha yake Kwa juhudi ....
Nawapa Mfano ... Kwan Suala la MBAPE kuwateka wanawake, mlidhan ni ni mwonekano wake ??. Hamnaa, ni zile juhudi alizozionyesha Ile siku ya fainali... Kama mnabisha, kama mnabisha, jiulizeni, kwann kabla ya siku ile ya fainali, walikua hata hawamsifiii MBAPE MBAPE MBAPE?? Why Ile siku??.

👉Usifanye mwanamke ajione yuko kwenye Mahusiano stable , hakikisha mwanamke wako anajua, akileta mzaha unapiga chini, unaokota chombo kingine...
Ipo hivi ,anapoona Mahusiano au Ndoa yenu imetuliaaaaa sana, anatoka kwenye Hisia na kuanza kutumia akili nahapo ndio ataanza kushangaa, una madhaifu gan.... Sasa hapa Kuna ujanja ambao inabidi uutumie ilie Bichwa lake lisiwe kubwa na akuone akikupoteza tu ndo atakua kapoteza Mwanaume wa Maisha yake ... Nilishaeleza sana hili....

👉Acha kufikiri kwamba Mwanamke atakupenda Kwa jinsi ulivyo siku zote ...
Aminin nawaambia, hakikisha siku zote unapambana kujiboresha wewe ,kuyaboresha Maisha yako, hata kama human ila aone juhudi zako na mipango .

👉Usiukwepe Wala usiukimbie Uanaume wako
Ninazungumzia uanume kwelikweli, Kuna watu watakua habari za 50/50 , acha ujingaz mwanaume ni mwanaume na Lazima u exercise Uanaume wako Daima, hamna kitu kibaya sana hapa Dunian kama ukuta Mwanaume mwenye umama Mama ndio anayeendesha Dunia .

👉Usifiche changamoto zako muda wote
ni kweli niliwahi wapa kanuni Moja isemayo "Usiache mwanamke aone chozi lako ".. Sasa hii kanuni Kuna Mahali unaiweka pemben ,. Kuna wakati Wanawake wanataka wafeel Ile sense ya "Umama yaan Mama aliyezaaa mtoto ,mama anamlea mwanaye " Sasa inapofikia mwanamke Wako anajiona Hana nafasi ni useless kwako, Mpe nafasi ya kukulea yaaan ajione ni Mama ( sio kulea kimatumizi Mbwa wewe ,utatiwa kidole, Hata Ivo inapotokea anafanya Kwa Moyo wake, kupokeaa, muache a exercise Uanamke wake, anajihisi Faraja sana kulea .

👉Usikwepe migogoro
Kuna jamaa Huwa mnanichekesha Sanaa, unakuta jamaa wanatumia Kila wanaloweza kuhakikisha migogoro haipo.... Wewe nani kakuambia ?? Siku zote utulivu ukipita kiasi, mapenzi yanaboa sanaz na yakiboaa, utaona anaanza kutafuta penye mikiki mikiki.... Ushawah jiuliza kwann wanawake wanaweza kuuamua tu kukuchokoza ili mgombane??? .

sikiaa Tena Kuna wakati unatakiwa wewe Mwanaume, Uanzishe mgogoro ambao unaweza kuucontrol wewe mwenyewe na kuupa solution wewe mwenyewe .... Yaaan unamliza- unamfurahisha wewe mwenyewe , hiii kitu Huwa inaimarisha bond ya Mahusiano...

Acha ubishi... , ni katika nyakati za majonzi na magumu ndio couples huwa wenye hutengeneza bond ya kweli, na hii huwafanya Wanawake wawe addicted Nawewe zaidi.

mfano wa huo mgogoro...

wee mwambie " Yaan Kuna Wanawake wa ajabu sana, mwanamke Mmoja Leo kazin si kaamua kuniambia óhooo Carlos nakupenda, nimekua nahisia Nawewe , nakutaman sanaaa ,nipe nafasi ".

hapa atataka kujua nini umefanya ndio? Mwambie tu , nimemwambia Sina nafasi yakumpa maana nmeoa.

hii itamzalishia Mgogoro wa nafsi juu yako, lakini bado Jibu lako linamfanya awe na kiholo Cha kutaka kujua kinachoendelea siku zote , Nawewe hapa unageuza kibao, unazidi kua unamsifia sifia ivoivo , Sasa hiii Huwa inamfanya mwanamke ajikite anakua mtumwa kwako pasipo yeye kujijua.

Mjali kwa Uwezo wako ulonao na unapoweza, Kisha peleka moto.
Umetisha sana mwamba 💯💯
 
Hiyo mtajua wenyewe. Ila una hela za dagaa, umemkuta mwanamke ana maisha yake unataka umpande kichwani. Kwani kuachana shillingi ngapi. Nna rafki yangu ni head of project kwenye NGO kubwa sana. Ana date na mkaka mwaka wa sita hana kazi, anaishi nae aisee huyo kaka ana amri sio poa, nyumba ni ya mwanamke ila hataki ndugu wa mkewe pale, alifika hatua akataka mshahara wa mkewe aupangie matumizi yeye. Eti kisa mwanaume🤣 ndo maana kuna sampuli huwa nazidharau sana yani gari la mwanamke, mali zake, anamvisha. Na anasaidia hadi ukweni ila jamaa boya. Na humu jf yupo kuna siku alijichanganya akafungua code🤣 mada anazotoa ni za amri. Huwa nacheka kinoma. Ipo siku nitamtaja
Warereeeee....umeandika
 
Umesahau kuwashauri kwamba wahakikishe hawa fall in love.

Wanaume mkipenda vizuri mnakuwa mazoba na nikuhakikishie palipo kupenda kweli hayo yote uliyowashauri hayafanyi kazi.

Mkifinyiwa kwa ndani mara mbili tatu mnasahau kanuni zote halafu kanuni za mwanamke ndio zinaingia kazini.
Ni ndumba sio kawaida
 
Sasa huyo dada mwenye hela hivo si amfungulie mwenzio biashara, anaona raha kumfuga huyo mume.
Una uhakika gani hajamfungulia? Anakula mtaji, biashara ina mwaka na inaingiza faida ila kodi ikiisha anatakiwa alipe mwanamke, madeni ya mume analipa mwanamke, kwenye biashara anaweka vimada, alishawahi kuwa na biashara kubwa tu ila bado haridhiki. Nyie wanaume mngekua mnakubali madhaifu yenu mbona maisha yangekua simple sana.

Yaani hadi natamani nimtaje maana yupo humu na anasoma. Oyaa si uje uelezee
 
Facts fikirishi. Nice message we have here. Na kweli binafsi kukitokeaga kamgogoro baina yangu na Mr afu tukausolve ndo ile mafeelings huwa yanazidi aisee.

Kuna kaka angu mmoja alinipaga tip ambayo naishi nayo kibingwa akanitelli, "mademoiselle usimfanye mme wako kihongwe mdogo wangu. Tambua nafasi yako. Usimpigie makelele. Usiwe stress kwake. Akija kuniomba ushauri juu ya ujinga utakaomletea nitamwambia ondoka hapo kwa muda. Yani ondoka usiku usiku, tafuta mahali pa kwenda au kulala hata ni lodge. Asubuhi nenda kazini. Ukitoka pita nyumbani salimia acha hela afu beba nguo na viatu kwenye kibegi. Yani akuonyeshe kwamba ana mwanamke mwingine ili uhahe. Na sitakusaidia. Wewe simama kwenye nafasi yako af sometimes jifanye fala. Uone kama mwanaume hatakupenda."

Kuna muda tunatakiww tuwe mafala na tufunge macho. Tukiapply kanuni ya upole na hekima ama kunyamaza sometimes. Afu kuendelea kusimama katika nafasi zetu. Its the best remedy. Mwanaume hata awe dikteta vipi. Mwanamke akiwa mtii, mpole na mnyenyekevu udikteta hauna nguvu. Maana hata akija kukuaattack anakukuta na samahni kibao. Au pole kibao. Na akifanya jambo makusudi kucheck reaction anakukuta umetulia na kunyamaza kama sio wewe. Tena kama huoni. Atajiona mpumbavu. Atafanya yaliyo sawa. Utakua umeua ndege wawili kwa jiwe moja. Kupendwa zaidi na yeye kujirekebisha. Thinkin out loud here....
Dadadadeki viumbe wa hivi hawapo siku hizi
 
Nikifa taarifa mtapata usijali kabisa bwanah ukimya nahisi uzee niliokuwa nao nakuwa mvivu vivu tumewaachia vijana
Muwe na tabia ya kuaga aga mnapokaribia kufwaaa😂😂

Sio mpaka tuletewe taarifa.

Familia yako haijambo?
 
Hiyo mtajua wenyewe. Ila una hela za dagaa, umemkuta mwanamke ana maisha yake unataka umpande kichwani. Kwani kuachana shillingi ngapi. Nna rafki yangu ni head of project kwenye NGO kubwa sana. Ana date na mkaka mwaka wa sita hana kazi, anaishi nae aisee huyo kaka ana amri sio poa, nyumba ni ya mwanamke ila hataki ndugu wa mkewe pale, alifika hatua akataka mshahara wa mkewe aupangie matumizi yeye. Eti kisa mwanaume🤣 ndo maana kuna sampuli huwa nazidharau sana yani gari la mwanamke, mali zake, anamvisha. Na anasaidia hadi ukweni ila jamaa boya. Na humu jf yupo kuna siku alijichanganya akafungua code🤣 mada anazotoa ni za amri. Huwa nacheka kinoma. Ipo siku nitamtaja
Umetisha sana, nakuomba PM mara moja kidogo tuchati, most of these men kama wazazi wa mwanamke hawajamstua wanaume aina hii nguvu zao ni uchawi na kuteka nyota za mwanamke, wengi ni watundu uchawi ndio nguzo zao, wanaweke fundo la kupendwa kivyovyote vile na hao wanawake zao na hawana aibu, bila kupambana imeisha hio. Na hio sometimes ni laana ya kukataa genuine men before venturing into a hyena project
 
Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!.

Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora".

Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe.

[emoji117]Ni kosa Kubwa sana kumuishi mwanamke kidemokrasi !!
Piga ua garagaza, Mahusiano hayahitaji demokrasia, Mahusiano yanahitaji yawe na KIONGOZI na huyo Kiongozi lazima awe DIKTETA ( Mkoloni ) ushawah jiuliza Kwannn Wanawake wananata Kwa watu wababe wababe, waso chekacheka naye kijinga jinga ?. Kafanya jambo la ovyo, Muonye, kaleta ujinga, kunja sura, kazidisha ujingaz Tia makofi , yaan ni kwamba ajue wewe ndio KIONGOZI.

[emoji117]Usimuweke mwanamke kipaumbele ,yaan hata kama ni mkeo , Usimuweke kipaumbele ,Kipaumbele chako kiwe ni missions zako za Maisha, mwanamke mfanye awe option ya pili au ya tatu au ya nne au hata ya Tano .
Sikia najua wakati mnafanyiana intavyuu za mitongozo utasikia mwanamke anakuambia, nataka mwanaume anifanye Mimi kipaumbele chake Cha kwanza ... Acha Uboya wewe..... Maisha yako ndio yawe kipaumbele , Bro women are naturally attracted to men of purpose , nyiee wahuni, kiasili kabisaaa Toka moyon mwa mwanamkez wanapenda wavutiwe na wapate nafasi Kwa Mwanaume mwenye mission zake ,anayepambana na Maisha yake Kwa juhudi ....
Nawapa Mfano ... Kwan Suala la MBAPE kuwateka wanawake, mlidhan ni ni mwonekano wake ??. Hamnaa, ni zile juhudi alizozionyesha Ile siku ya fainali... Kama mnabisha, kama mnabisha, jiulizeni, kwann kabla ya siku ile ya fainali, walikua hata hawamsifiii MBAPE MBAPE MBAPE?? Why Ile siku??.

[emoji117]Usifanye mwanamke ajione yuko kwenye Mahusiano stable , hakikisha mwanamke wako anajua, akileta mzaha unapiga chini, unaokota chombo kingine...
Ipo hivi ,anapoona Mahusiano au Ndoa yenu imetuliaaaaa sana, anatoka kwenye Hisia na kuanza kutumia akili nahapo ndio ataanza kushangaa, una madhaifu gan.... Sasa hapa Kuna ujanja ambao inabidi uutumie ilie Bichwa lake lisiwe kubwa na akuone akikupoteza tu ndo atakua kapoteza Mwanaume wa Maisha yake ... Nilishaeleza sana hili....

[emoji117]Acha kufikiri kwamba Mwanamke atakupenda Kwa jinsi ulivyo siku zote ...
Aminin nawaambia, hakikisha siku zote unapambana kujiboresha wewe ,kuyaboresha Maisha yako, hata kama human ila aone juhudi zako na mipango .

[emoji117]Usiukwepe Wala usiukimbie Uanaume wako
Ninazungumzia uanume kwelikweli, Kuna watu watakua habari za 50/50 , acha ujingaz mwanaume ni mwanaume na Lazima u exercise Uanaume wako Daima, hamna kitu kibaya sana hapa Dunian kama ukuta Mwanaume mwenye umama Mama ndio anayeendesha Dunia .

[emoji117]Usifiche changamoto zako muda wote
ni kweli niliwahi wapa kanuni Moja isemayo "Usiache mwanamke aone chozi lako ".. Sasa hii kanuni Kuna Mahali unaiweka pemben ,. Kuna wakati Wanawake wanataka wafeel Ile sense ya "Umama yaan Mama aliyezaaa mtoto ,mama anamlea mwanaye " Sasa inapofikia mwanamke Wako anajiona Hana nafasi ni useless kwako, Mpe nafasi ya kukulea yaaan ajione ni Mama ( sio kulea kimatumizi Mbwa wewe ,utatiwa kidole, Hata Ivo inapotokea anafanya Kwa Moyo wake, kupokeaa, muache a exercise Uanamke wake, anajihisi Faraja sana kulea .

[emoji117]Usikwepe migogoro
Kuna jamaa Huwa mnanichekesha Sanaa, unakuta jamaa wanatumia Kila wanaloweza kuhakikisha migogoro haipo.... Wewe nani kakuambia ?? Siku zote utulivu ukipita kiasi, mapenzi yanaboa sanaz na yakiboaa, utaona anaanza kutafuta penye mikiki mikiki.... Ushawah jiuliza kwann wanawake wanaweza kuuamua tu kukuchokoza ili mgombane??? .

sikiaa Tena Kuna wakati unatakiwa wewe Mwanaume, Uanzishe mgogoro ambao unaweza kuucontrol wewe mwenyewe na kuupa solution wewe mwenyewe .... Yaaan unamliza- unamfurahisha wewe mwenyewe , hiii kitu Huwa inaimarisha bond ya Mahusiano...

Acha ubishi... , ni katika nyakati za majonzi na magumu ndio couples huwa wenye hutengeneza bond ya kweli, na hii huwafanya Wanawake wawe addicted Nawewe zaidi.

mfano wa huo mgogoro...

wee mwambie " Yaan Kuna Wanawake wa ajabu sana, mwanamke Mmoja Leo kazin si kaamua kuniambia óhooo Carlos nakupenda, nimekua nahisia Nawewe , nakutaman sanaaa ,nipe nafasi ".

hapa atataka kujua nini umefanya ndio? Mwambie tu , nimemwambia Sina nafasi yakumpa maana nmeoa.

hii itamzalishia Mgogoro wa nafsi juu yako, lakini bado Jibu lako linamfanya awe na kiholo Cha kutaka kujua kinachoendelea siku zote , Nawewe hapa unageuza kibao, unazidi kua unamsifia sifia ivoivo , Sasa hiii Huwa inamfanya mwanamke ajikite anakua mtumwa kwako pasipo yeye kujijua.

Mjali kwa Uwezo wako ulonao na unapoweza, Kisha peleka moto.
Carlos The Jackal vipi nikitaka mwanaume anipende zaidi tukitoa ya kumtiii nakumheshimu nitumie mbinu gani nimteke akili yake zaidi,maana hayo uliyoandika ndio anayoyafanya huyu mwamba [emoji122]
 
Una uhakika gani hajamfungulia? Anakula mtaji, biashara ina mwaka na inaingiza faida ila kodi ikiisha anatakiwa alipe mwanamke, madeni ya mume analipa mwanamke, kwenye biashara anaweka vimada, alishawahi kuwa na biashara kubwa tu ila bado haridhiki. Nyie wanaume mngekua mnakubali madhaifu yenu mbona maisha yangekua simple sana.

Yaani hadi natamani nimtaje maana yupo humu na anasoma. Oyaa si uje uelezee
Huyo ni mchawi anatumia ulozi kuishi hayo mahusiano, amini hilo, I happened to have a sister a cousin ni boya hivyo hivyo mwanaume ni mnyamwezi huyo mume sasa ni Marehemu kamtesa sana sister, uchawi ni kitu kibaya sana sana, wanaoroga ndio wanaofaidi mapenzi siku hizi
 
Carlos The Jackal vipi nikitaka mwanaume anipende zaidi tukitoa ya kumtiii nakumheshimu nitumie mbinu gani nimteke akili yake zaidi,maana hayo uliyoandika ndio anayoyafanya huyu mwamba [emoji122]
Nashauri zungusha sana mauno, kaaa kitako nyumbani, asikushuku kuchepuka, pika chakula vizuri, usafi, Lea watoto vizuri, moangilie mavazi,
 
Hii 50/50 niseme ukweli hata mm inaniboa aise Niko mwenyew nakula navaa nafanya mambo yangu ya kimaendeleo lakini kunamuda kichwa kinapata moto yaani balaa kunavitu siviwezi hata nikiviwaza naona kbisa Nimejiover dose Kuna gape mahali wanawezaje hii 50/50 au mm ndo sijaielewa

Soph nisikufiche
Ukiweka hilo akilini Hakuna mwanaume utashindwa ishi nae
Mwanaume atimize yake kikamilifu
Na wewe timiza yako kikamilifu
Kila mtu ajue wajibu wake....
 
Back
Top Bottom