Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Asa bloangu,unafikiri muda wote atakaa kama zuzu asijue hayo machaka?

Hana marafiki wenzie wanawake watakaomuelekeza hayo machocho?

Sometimes ni akili ya mtu tu,akiwa smart hawezi kuwa ni mpumbavu ingawaje matukio ni kweli yapo
 
Mimi wangu atakitaka kuondoka namgomea

Akitoka nipo nae
 
Kumchunga huyo kiumbe inataka moyo,usijitafutie kisukari cha lazima bure
Mimi siwezi pata kisukari kuna siku alitak kwenda kwenye harusi ya jirani usiku nikamwambia wewe toa mguu wako hapo nenda af mda wakurudi tafuta kwa kwenda mizigo utakuta ishafika kwenu hakwenda nilipo rudi nikamuonea huruma kakaa kinyonge sana nikamwambia jiandae tuondoke
 
Uaminifu ni changamoto mkuu, atakaekupiga aji na alama usoni
 
unapomuoa unakuta mzani wa mahusiano umebalansi, ukimfungulia biashara maana yake unaongeza uzito katika upande wake, na unapunguza kwako. Uache mzani ubalansi kama ulivyoukuta. Hao mbwa hawana shukrani, kamuulze Adam na Samsoni.

unaweza kumnunulia gari ya millions 100, akapigwa machine na mziba pancha, tena humo humo gereji kwenye magari mabovu
 
unapomuoa unakuta mzani wa mahusiano umebalansi, ukimfungulia biashara maana yake unaongeza uzito katika upande wake, na unapunguza kwako. Uache mzani ubalansi kama ulivyoukuta. Hao mbwa hawana shukrani, kamuulze Adam na Samsoni.
Demi unaitwa uku
 
Ungeandika kwa HERUFI KUBWA vijana hawa wakupigia magoti wanawake wakati wakichumbiana hawatakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…