Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
That is not a reasonPeople are dynamic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is not a reasonPeople are dynamic
Akamatwe kabisaMkuu ondoa shaka. "Namuagiza waziri mkuu na hili nalo akaliangalie"
Acha tyUna hoja hawa wakishakuwa na hela ndio utajua Tabia zao
Are u sure brooThat is not a reason
Msimamishe muombe nambaView attachment 3155999
kama kawaida yako
Adabu hauna?Msimamishe muombe namba
Mimi wangu atakitaka kuondoka namgomeaAsa bloangu,unafikiri muda wote atakaa kama zuzu asijue hayo machaka?
Hana marafiki wenzie wanawake watakaomuelekeza hayo machocho?
Sometimes ni akili ya mtu tu,akiwa smart hawezi kuwa ni mpumbavu ingawaje matukio ni kweli yapo
Ahahahaah amna brooAdabu hauna?
Kumchunga huyo kiumbe inataka moyo,usijitafutie kisukari cha lazima bureMimi wangu atakitaka kuondoka namgomea
Akitoka nipo nae
Mimi siwezi pata kisukari kuna siku alitak kwenda kwenye harusi ya jirani usiku nikamwambia wewe toa mguu wako hapo nenda af mda wakurudi tafuta kwa kwenda mizigo utakuta ishafika kwenu hakwenda nilipo rudi nikamuonea huruma kakaa kinyonge sana nikamwambia jiandae tuondokeKumchunga huyo kiumbe inataka moyo,usijitafutie kisukari cha lazima bure
yesAre u sure broo
Hapana wewe utakuwa mkeo kakuwekea limbwata umewekwa kwenye chupa
Uaminifu ni changamoto mkuu, atakaekupiga aji na alama usoniNadhani ushauri wa maana zaidi ni kama unataka kufunga ndoa / partner fahamu kwamba unapata mwenza, msaidizi wa kuongoza jahazi kwa kupata kwake ni msaada kwako na sio kwamba mnaungana ili kila mtu aende kivyake bali wote muende sawa....
Thus mnakuwa na Chenu na Sio Chako na Chake..., after all kama mna familia na yeye anasaidia matumizi well and good (ndio maana ya msaidizi) sasa usipompa apate alafu kila siku anakupigia kukuomba hapo umemkomoa nani ?
unapomuoa unakuta mzani wa mahusiano umebalansi, ukimfungulia biashara maana yake unaongeza uzito katika upande wake, na unapunguza kwako. Uache mzani ubalansi kama ulivyoukuta. Hao mbwa hawana shukrani, kamuulze Adam na Samsoni.Za maamko
Kuna watu mnataka kuwafungulia biashara wake zenu ila epuka hii kitu
Mfungulie biashara ila hakikisha hajui wapi marighafi unatolea yaani machimbo unakochukua mzigo wewe fanya kuwasiliana na argent chukua mzigo fikisha dukani endelea usimpe mwanya wa kuwasiliana na argent unako chukulia mzigo kabisa
Unapo mpa mwanya uho madharau ndani ndio yanazidi mshape mkeo aone bila wewe yeye sio kitu au familia watoto waone bila wewe no familia ndani hawali
Wanaume tunakufa kwasababu za stress ukijifanya kumpa nafasi mwanamke umekwisha dharau zitazidi then atajiona yeye mwamba
Usiwekeze pesa yako kwa mwanamke kabisa kutegemea ipo siku ukishuka kwenye uchumi atakufaa utaambulia manyanyaso
Akipita mwingine nitakimbilia kabla sijaondokaAhahahaah amna broo
Hakikisha ni mzee kabisa tena mjaneAkipita mwingine nitakimbilia kabla sijaondoka
Ungeandika kwa HERUFI KUBWA vijana hawa wakupigia magoti wanawake wakati wakichumbiana hawatakuelewaZa maamko
Kuna watu mnataka kuwafungulia biashara wake zenu ila epuka hii kitu
Mfungulie biashara ila hakikisha hajui wapi marighafi unatolea yaani machimbo unakochukua mzigo wewe fanya kuwasiliana na argent chukua mzigo fikisha dukani endelea usimpe mwanya wa kuwasiliana na argent unako chukulia mzigo kabisa
Unapo mpa mwanya uho madharau ndani ndio yanazidi mshape mkeo aone bila wewe yeye sio kitu au familia watoto waone bila wewe no familia ndani hawali
Wanaume tunakufa kwasababu za stress ukijifanya kumpa nafasi mwanamke umekwisha dharau zitazidi then atajiona yeye mwamba
Usiwekeze pesa yako kwa mwanamke kabisa kutegemea ipo siku ukishuka kwenye uchumi atakufaa utaambulia manyanyaso
Sijui wametolea wapi upumbuvu uhuuUngeandika kwa HERUFI KUBWA vijana hawa wakupigia magoti wanawake wakati wakichumbiana hawatakuelewa