Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Ukiumwa?
 
We bwege kweli mkuu.
Sasa si ushatoboa Siri ya kambi!??
Aaaah umeyuumbaaa!!
 
Najua ila nachomaanisha nikuwa wajue humuhimu wako hivi unajua wanachokipandikiza wanawake kwa watoto
Hizi ni kauli za wanaume wasio wawajibikaji badae watoto waki'side na mama zao malalamiko yanaanza. Unakuta baba hajui watoto wanakula nini, hajui wanavaa nini, wakiumwa hajui wanatibiwa vipi alafu anataka watoto wamfurahie. Kaeni vizuri na familia zenu vinginevyo mtaendelea tu kulalamikia wanawake.
 
Biashara za miafrika ni za kipumbavu! Ndiyo maana mijanaume ya Kiafrika tukifa biashara hazidumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…