Za maamko
Kuna watu mnataka kuwafungulia biashara wake zenu ila epuka hii kitu
Mfungulie biashara ila hakikisha hajui wapi marighafi unatolea yaani machimbo unakochukua mzigo wewe fanya kuwasiliana na argent chukua mzigo fikisha dukani endelea usimpe mwanya wa kuwasiliana na argent unako chukulia mzigo kabisa
Unapo mpa mwanya uho madharau ndani ndio yanazidi mshape mkeo aone bila wewe yeye sio kitu au familia watoto waone bila wewe no familia ndani hawali
Wanaume tunakufa kwasababu za stress ukijifanya kumpa nafasi mwanamke umekwisha dharau zitazidi then atajiona yeye mwamba
Usiwekeze pesa yako kwa mwanamke kabisa kutegemea ipo siku ukishuka kwenye uchumi atakufaa utaambulia manyanyaso