Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #141
Mimi hapa nikuoe😂😂😂 Mdogo wangu, mimi nikipata baby wa kunioa naolewa yakinishinda basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hapa nikuoe😂😂😂 Mdogo wangu, mimi nikipata baby wa kunioa naolewa yakinishinda basi.
Wanabiashara zao na wao ndio wananipa za ndani kabisa kama ikitaka kuyumbua ua soko lipo vibaya sehemu zinazopatikana kwa bei nafuu yaani nikisema nina ndugu namaanisha sio hao ndugu zenu wenye uchu wa pesakwanini usiwafungulie ndugu zako hilo duka kama unawaamini kuliko mkeo?
Watamsaidia kule kama wakimshinda kuleakwamba unaona ndugu zako ndio watawasimamia watoto wako? huu ujuha
Sawa kabisa inaelekea mkeo mzuri tu share bas kakaSawa, tuendelee kuandika post za kuwaona wanawake ni wabaya
Huo udhaifu wao upo ktk nn ?Wanawake ni dhaifu kweli, tatizo ni mifumo ya kijamii na kimamlaka ndio inawabeba. Mwanaume ukii-outsmart iyo mifumo mwanamke hana chochote cha kukutishia amani
Kama shemu unaetegema akuoe anaitwa mudi basi sahau kuhusu ndoaHahaa ngoja nikusemee kwa Mudi.
Kabisa ety unakuta mwanamke mmegimbana anawaambia watoto baba yenu mwenyewe malaya bila kumshika shati hatoi pesa ya matumizi wakati uho umemnyima hela ya kununua nguo ya kwenda nayo kwenye harusi ya mwanakikundi mwezieWanawake wanawaambia watoto ujinga sana😁 sema kwa damu yangu mimi huo ujinga sidhani kama utafua dafu.
Nina binti yangu ambaye akikua atakuwa jembe langu hata mama yake akileta fyoko tutaishi tu mtu wa kunipikia na kunifulia yupo tayari. Mwanamke akizaa toto la kiume akalijaza ujinga ndio unakuwa umekula hasara full suit!
ujasiri, physique, maono, msimamo n.kHuo udhaifu wao upo ktk nn ?
Ahahahha na akakutumia sms waokoaji hawajanifikia nakuomba nikifa usioe mwanamke mwingine pleas sasa sijui nia yake uanze kupiga nyetoNi kweli anaweza hata akaangukiwa na ghorofa 🤣
Ndio mwanamke wakizazi hiki anakalia chupa ya mirinda we uogopSio mwanamke wa kizazi cha sasa.
Kabisa mkuuMwaka wa kufosi huu lazima waelewe
Watoto hawawezi pata shidaHalafu ukifa gafla watoto wapate shida kwasababu ya insecurity ya Baba.
Kabisa atakwambia chakula kipo jikoni kapakueIkiwezekana usimfungulie kabisa akianza kushika vihela ataanza madharau
Mh sio wote huyu wangu ata kuuza karanga haweziWew ni dictator na mbinafsi sijui unaona ukimshirikisha atafaidi wakati kuna wanawake ukiwashirikisha baadhi ya mambo ndio huzidi kuimarika
Badilika
Kabisa sikupingiAsilimia kubwa ya migogoro inayovunja ndoa ni wanamke kuwa na financial freedom.
Mwanamke akiwa na uhakika wa kuendesha maisha yake bila msaada wa mwanaume lazima kiumane.
Sifa kubwa ya mwanaume ni kupambana mkuu sio kubwetekaKuna mwamba alifanya hivi sasa hivi anakopa hela kwa watu ili tu asitumie hela za mke wake kumuonyesha kwamba hamtegemei..
Unanikataa kabisa leoHahaha! Hapana
Ajisahihishe kupitia kaka yake hapa
Hivi ninyi mnatoshekaga?Ukiona mwanamke anakuwa hivyo kuna uwezekano mkubwa kabla hajajipata ulikuwa humtunzi ipasavyo na kama unamtunza basi ni kwa manyanyaso.
Na ataanza kuchepuka piaKabisa atakwambia chakula kipo jikoni kapakue
Af anaanza kutembea na vitoto vidogoo vya form 6Hili nalo neno. Mwanamke akishapata financial independence wazo la kwanza ni kumuuondoa mwanau.e kwenye maisha yake.