Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Huahahh hawa wakata ndoa wanatuzunguka wanaoa kimyakimya halafu wanakuja kua marriage consultants
Kijana taarifa zake ninazo,alikuwa huko mjini Dar es salaam miezi iliyopita akaondoka kwenda nje ya huo mji/jiji ,kumbe katafutiwa jiko huko anapikiwa na kulishwa na kulishwa tena ,sasa yamemkuta anajifanya kutoa ushauri hapa 🤣
 
Ahahahh af nimeoa kibibi hahah
 
Za maamko

Kuna watu mnataka kuwafungulia biashara wake zenu ila epuka hii kitu

Mfungulie biashara ila hakikisha hajui wapi marighafi unatolea yaani machimbo unakochukua mzigo wewe fanya kuwasiliana na argent chukua mzigo fikisha dukani endelea usimpe mwanya wa kuwasiliana na argent unako chukulia mzigo kabisa

Unapo mpa mwanya uho madharau ndani ndio yanazidi mshape mkeo aone bila wewe yeye sio kitu au familia watoto waone bila wewe no familia ndani hawali

Wanaume tunakufa kwasababu za stress ukijifanya kumpa nafasi mwanamke umekwisha dharau zitazidi then atajiona yeye mwamba

Usiwekeze pesa yako kwa mwanamke kabisa kutegemea ipo siku ukishuka kwenye uchumi atakufaa utaambulia manyanyaso
Mateso yote hayo ya nini .

# Msiwege mnaoa
 
Mkuu ondoa shaka. "Namuagiza waziri mkuu na hili nalo akaliangalie"
 
Una hoja hawa wakishakuwa na hela ndio utajua Tabia zao
 
Back
Top Bottom