Kwan tanzania hakuna amani 🤣 nq kwann amani bila HAKIKesho beba bango lenye maandishi yafuatayo.
Hatuna Nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane.
Tabia ya mtu haibadiliki tabia ni kama ngozi je unaweza kuibadilisha ngozi? Hao unaosema wamebadilika wameficha makuchaWapo waliobadilika na wanazo familia bora kabisa !!
Muda mwingine changamoto za maisha zinawabadilisha tu, huwa wanabadilika !
Mc Pilipili Vs Nikki sitaki kaziNiamini mimi, mbwembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika uhalisia mtaishi sana
Hili ni kawaida hata kwa Wanaume piaMwanamke anaweza kupoteza uhuru wake ili awe na wewe.
You can't make a hoe a house wife..Dr DreWapo waliobadilika na wanazo familia bora kabisa !!
Muda mwingine changamoto za maisha zinawabadilisha tu, huwa wanabadilika !
Bila amani mada haiwez kujadiliwaUpo nje ya mada
HakikaNayaweza mambo yoooote katika yeye anitiaye NGUVU.
Naunga mkono hoja.Mtoa mada unaongea hayo kwanza hujaoa wewe. Ipo hivi mwanamke huwezi kumjua tabia yake bila kuwa naye(Kuoa) kumchunguza kabla ya kumuoa bado siyo kipimo direct cha kujua tabia yake. Unachotakiwa kufanya we oa tu itajulikanq mbele ya safari. Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu. Huwezi mpata mwanamke ambaye ni perfectly 100%. Kumbuka hata wewe ni kipengele kwanini wakitazama kibanzi kilichopo kwa mwenzio ilihali huangalii bolti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Tutolee ujinga hapa.Kesho beba bango lenye maandishi yafuatayo.
Hatuna Nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane.
Wapumbavu kweli hawa, yaani uibe uchaguzi, uue, utese na kuumiza kisha uje na meseji za kipumbavu namna hii??Kesho beba bango lenye maandishi yafuatayo.
Hatuna Nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane.