Usifanye ujinga wa kumbadilisha ‘mwanamke aliyeharibika’ ili uishi naye

Usifanye ujinga wa kumbadilisha ‘mwanamke aliyeharibika’ ili uishi naye

Mtoa mada unaongea hayo kwanza hujaoa wewe. Ipo hivi mwanamke huwezi kumjua tabia yake bila kuwa naye(Kuoa) kumchunguza kabla ya kumuoa bado siyo kipimo direct cha kujua tabia yake. Unachotakiwa kufanya we oa tu itajulikanq mbele ya safari. Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu. Huwezi mpata mwanamke ambaye ni perfectly 100%. Kumbuka hata wewe ni kipengele kwanini wakitazama kibanzi kilichopo kwa mwenzio ilihali huangalii bolti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu

Nimeishia hapa👆

Umeshaonesha udhaifu na utakatifu wako😂
Nini maana ya ufalme wa Mungu upo ndani yako???
 
a7b6a7e5725729542e344d7577fd0ed8.webp

Wahuni kibao wanapiga bure.. kisha baadae gentleman mwishoni anakuja na maua kwenye engagement, anaoa na kuweka ndani huyo mwanamke
 
Mtoa mada unaongea hayo kwanza hujaoa wewe. Ipo hivi mwanamke huwezi kumjua tabia yake bila kuwa naye(Kuoa) kumchunguza kabla ya kumuoa bado siyo kipimo direct cha kujua tabia yake. Unachotakiwa kufanya we oa tu itajulikanq mbele ya safari. Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu. Huwezi mpata mwanamke ambaye ni perfectly 100%. Kumbuka hata wewe ni kipengele kwanini wakitazama kibanzi kilichopo kwa mwenzio ilihali huangalii bolti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Duh shule zifunguliwe tu
 
Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe.

Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili.

Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza.

Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia mwanzo.

Niamini mimi, mbwembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika uhalisia mtaishi sana tu.

Usijibadilishe ili umpate kaka.

Unapotaka mahusiano ya kudumu hakikisha umefanya uchunguzi na kuona kwamba mwanamke anajaa kwenye hesabu za mifumo yako.

Mwanamke anaweza kuacha baadhi ya mambo yake ili awe na wewe.

Mwanamke anaweza kupoteza uhuru wake ili awe na wewe.

Usihitaji mahusiano ya kudumu kwa mtu wa kula na kusepa, itakuumiza.

Usimbadilishe mwanamke alieharibika ili awe mtu bora kwako, hiyo sio kazi yako. Badala yake tafuta ambaye tayari kalelewa vizuri.
Ushauri kuhusu upendo,mapenzi na ndoa hufuatwa kwa asilimia 0.2 na kuachwa kwa 98.8 kama mitihani ya NECTA.
 
Hivi ujasiri wa kurukia rukia wake za watu huwa mnapata wapi? acha kunitag tag kwenye ujinga kijana 😏!
Wake za watu ni watamu😋 just joking
Hata hivyo am taking a sabbatical sitasumbua tena mmy
 
Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu

Nimeishia hapa👆

Umeshaonesha udhaifu na utakatifu wako😂
Nini maana ya ufalme wa Mungu upo ndani yako???
Ogopa sana course unayopewa cheti kabla ya mafunzo na hujui umegraduate nini na ukija jua una kufa na kihoro pakukimbilia hujui na walio kupa wanajua ulikuwa ukiyajua tokea awali na hawana msaada zaidi ya kukuambia vumilia tu hayo ni maisha taratibu utaelewa somo na kuendana nalo kwa uweza wa Mungu dah😅😅. wakiamini ulimjua vizuri kuluko wao na kuridhika na ndo ukaamua kujitoa mhanga kuishi naye ila ukweli wanaume wengi wana Majuto sana kwa walio waoa ndo mana hufa mapema kwa stress.
 
Back
Top Bottom