Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kituMtoa mada unaongea hayo kwanza hujaoa wewe. Ipo hivi mwanamke huwezi kumjua tabia yake bila kuwa naye(Kuoa) kumchunguza kabla ya kumuoa bado siyo kipimo direct cha kujua tabia yake. Unachotakiwa kufanya we oa tu itajulikanq mbele ya safari. Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu. Huwezi mpata mwanamke ambaye ni perfectly 100%. Kumbuka hata wewe ni kipengele kwanini wakitazama kibanzi kilichopo kwa mwenzio ilihali huangalii bolti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Duh shule zifunguliwe tuMtoa mada unaongea hayo kwanza hujaoa wewe. Ipo hivi mwanamke huwezi kumjua tabia yake bila kuwa naye(Kuoa) kumchunguza kabla ya kumuoa bado siyo kipimo direct cha kujua tabia yake. Unachotakiwa kufanya we oa tu itajulikanq mbele ya safari. Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu. Huwezi mpata mwanamke ambaye ni perfectly 100%. Kumbuka hata wewe ni kipengele kwanini wakitazama kibanzi kilichopo kwa mwenzio ilihali huangalii bolti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Thank you fresh manView attachment 3623860
Wahuni kibao wanapiga bure.. kisha baadae gentleman mwishoni anakuja na maua kwenye engagement, anaoa na kuweka ndani huyo mwanamke
I mean no malice to nobodyDuh shule zifunguliwe tu
Huo ufalme unatoka wapi kama hujauomba "UFALME WAKO UJE"Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu
Nimeishia hapa👆
Umeshaonesha udhaifu na utakatifu wako😂
Nini maana ya ufalme wa Mungu upo ndani yako???
of course you don'tI mean no malice to nobody
Ushauri kuhusu upendo,mapenzi na ndoa hufuatwa kwa asilimia 0.2 na kuachwa kwa 98.8 kama mitihani ya NECTA.Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe.
Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili.
Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza.
Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia mwanzo.
Niamini mimi, mbwembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika uhalisia mtaishi sana tu.
Usijibadilishe ili umpate kaka.
Unapotaka mahusiano ya kudumu hakikisha umefanya uchunguzi na kuona kwamba mwanamke anajaa kwenye hesabu za mifumo yako.
Mwanamke anaweza kuacha baadhi ya mambo yake ili awe na wewe.
Mwanamke anaweza kupoteza uhuru wake ili awe na wewe.
Usihitaji mahusiano ya kudumu kwa mtu wa kula na kusepa, itakuumiza.
Usimbadilishe mwanamke alieharibika ili awe mtu bora kwako, hiyo sio kazi yako. Badala yake tafuta ambaye tayari kalelewa vizuri.
SitoiTutolee ujinga hapa.
Hivi ujasiri wa kurukia rukia wake za watu huwa mnapata wapi? acha kunitag tag kwenye ujinga kijana 😏!Ndo maana mimi nagandana na Binti wa zamani maana hawa wa siku hizi wana undiagnosed ADHD
Wake za watu ni watamu😋 just jokingHivi ujasiri wa kurukia rukia wake za watu huwa mnapata wapi? acha kunitag tag kwenye ujinga kijana 😏!
Ogopa sana course unayopewa cheti kabla ya mafunzo na hujui umegraduate nini na ukija jua una kufa na kihoro pakukimbilia hujui na walio kupa wanajua ulikuwa ukiyajua tokea awali na hawana msaada zaidi ya kukuambia vumilia tu hayo ni maisha taratibu utaelewa somo na kuendana nalo kwa uweza wa Mungu dah😅😅. wakiamini ulimjua vizuri kuluko wao na kuridhika na ndo ukaamua kujitoa mhanga kuishi naye ila ukweli wanaume wengi wana Majuto sana kwa walio waoa ndo mana hufa mapema kwa stress.Kuna vitu vingine kwa upeo wa kibinadamu hatuwezi ila Mungu ndo kila kitu
Nimeishia hapa👆
Umeshaonesha udhaifu na utakatifu wako😂
Nini maana ya ufalme wa Mungu upo ndani yako???