Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊
1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba.
2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe kwa 100%
3 Wakikuta una chumba kimoja mnabanana humo wa kulaumiwa ni wewe na sio mjomba aliyeshindwa kukujsaidia kujenga nyumba.
KUNA MAMBO YANATAKA WAJIBU WAKO KWA 100% WENGINE WAKUSAIDIE TU WAKIJISIKIA NA USIWALAUMU WAKISHINDWA.
Kuhudumia watoto wako ni jukumu lako kwa 100% na tena hutakiwi kulalamika kwenye hilo kwa sababu hawakukulazimisha uwazae , ikitokea kuna mtu anakusaidia shukuru na isipotokea hayupo usilaumu maana hilo ni jukumu lako 100%.
KAMA WANGEJUA HAUKO TAYARI KUWAHUDUMIA WASINGEKUCHAGUA IKIWA WANGEPEWA HIYO NAFASI
Acha kuwamezesha sumu watoto kuwa wana ndugu tajiri ila hawawasaidii bali waambie tu ukweli kuwa wewe ndio umeshindwa kuwasaidia kwa sababu ni wajibu wako kwa 100%
#Instagram@fikia ndoto zako.