Usifanye watoto wako wachukie wajomba na baba zao wadogo kwa matatizo yako 😊

Jomba iko hivi


Baba na mama ikomboeni familia yenu kwa kila nyanja fulu stopu.
 
Jomba iko hivi


Baba na mama ikomboeni familia yenu kwa kila nyanja fulu stopu.
Mimi nitaendelea kununua viwanja na mashamba ya matajiri wajinga. Nakupa akili kaa vizuri na watu wa mjini kuna watu wana hela na wana wake ambao hawana hili wala lile. Ndugu zake wote choka mbaya, hapa ndipo tunapopatia mserereko wa viwanja vya bei rahisi. Fuatilia Kariakoo ilikuwa inamilikiwa na wakina nani na waliouza viwanja pale walikuwa wanawake au wanaume. Elimu muhimu sana kama wote ni wajinga mimi nafanya kazi ya Mungu wengine wajifunze. Sina shida na vitu vingine mimi ni nyumba, viwanja na mashamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…