Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Weka hiyo sheria humu ili uwaumbue Cdm basi !!Wewe mjaluo usinisumbue kwa umbumbumbu wako. Kasome sheria ya uchaguzi na bunge ndiyo utajua nina maana gani acha mapovu ya wanasaccos.
Yaani ningekuwa na uweledi kama wa Pascal Mayalla, ningelikusanya threads zoooooote zenye "makasudio ya kufungua kesi" zilizomo humu na kuulizia mustakabali wake.AZIMIO LA KUMSHTAKI SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. JOB NDUGAI KWA KUKIUKA MISINGI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BAADA YA KUMRUHUSU BW. CECIL MWAMBE KUENDELEA NA UBUNGE
Ndugu RAIA MWEMA,
Awali ya yote tunakushukuru na kukupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuzuia kuenea kwa maambukizi ya COVID-19 hasa wakati huu ambapo dunia inaendelea kupambana na janga la virusi vya Corona (COVID 19). Sisi kama watetezi wa haki za binadamu tunapenda kukutia moyo uendelee kujilinda wewe pamoja na uwapendao.
Ndugu RAIA MWEMA,...
Kama hujui hata sheria hizo zinapatikana wapi ndiyo unadhihirisha zaidi umbumbumbu wako.Weka hiyo sheria humu ili uwaumbue Cdm basi !!
Mmetetea hata madudu yayofanya nchi yetu ionekane ya malimbukeni
Odhis *
Vipi umeshaolewa?Serikali ni ya kishetani bunge ni la kishetani...m
Mataga mmeshikwa pabaya safari hii,hata praise teamKama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Yes! Tangu tar 28/03/2020 nimeolewa nipo chato mkuu si unaona sijatoka tena hukuVipi umeshaolewa?
Mkuu umeongea vizuri. Bahati mbaya Chadema hawatumii weledi katika maamuzi yao. Jazba na husda ndio zinawaongoza. Mwisho wa siku hawakidhi mahitaji ya kisheria halafu wanakuja JF kulalamika wameonewa.Vipi kuhusu Mheshimiwa Selasini Mbunge wa Rombo aliyetangaza hadharani kujivua uwanachama wa Chadema na kuhamia NCCR-Mageuzi na bado anaendelea na ubunge?.
Yaani Chadema inatangaza kwamba Wabunge wake waliohamia NCCR Mageuzi wataendelea na Ubunge lakini aliyehamia CCM avuliwe, hii ni akili?...
Huko mahakaman mnapoteza mudaNa iwe hivyo haraka. Huyu mgogo asitufanye watu na akili zetu kama yeye. Ni spika wa hovyo kabisa. Peleka mahakamani huyu.
Wakijitokeza niambieUvunjaji wa sheria uliofanywa na Spika na serikali umewafanya praise team na MATAGA kukaa kimya kabisa na kuwa mbali na mijadala inayolalamikia kitendo hicho
Timu ya kusifu na kuabudu jitokezeni msikae mbali katika hili.
Kwamujibu wa katiba "Mbunge akishajivua uanachama ama kuvuliwa uanachama na chama kilichomdhamini kugombea, automatic anakuwa amepoteza sifa ya kuwa mbunge hata kama hatatangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Kwahiyo mwambe na 30 hawana sifa kabisa za kuendelea kuwa wabunge labda kama watachaguliwa upya ndani ya jezi zao mpya. Tunaelewna?
Kila kabila lina tabia zake, zinafuata tabia za koo, alafu familia mwisho tabia ya mtu mmoja mmoja.Ndugai speaker 1 kushitakiwa kuhujumu uchumi na nchi subiria