Usiginwaji wa Katiba Bungeni: Watetezi wa Haki za Binadamu nchini walaani. Wawakumbushia umuhimu wa kila raia kuilinda Katiba ya Nchi

Usiginwaji wa Katiba Bungeni: Watetezi wa Haki za Binadamu nchini walaani. Wawakumbushia umuhimu wa kila raia kuilinda Katiba ya Nchi

Wewe mjaluo usinisumbue kwa umbumbumbu wako. Kasome sheria ya uchaguzi na bunge ndiyo utajua nina maana gani acha mapovu ya wanasaccos.
Weka hiyo sheria humu ili uwaumbue Cdm basi !!
Mmetetea hata madudu yayofanya nchi yetu ionekane ya malimbukeni

Odhis *
 
AZIMIO LA KUMSHTAKI SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. JOB NDUGAI KWA KUKIUKA MISINGI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BAADA YA KUMRUHUSU BW. CECIL MWAMBE KUENDELEA NA UBUNGE

Ndugu RAIA MWEMA,
Awali ya yote tunakushukuru na kukupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuzuia kuenea kwa maambukizi ya COVID-19 hasa wakati huu ambapo dunia inaendelea kupambana na janga la virusi vya Corona (COVID 19). Sisi kama watetezi wa haki za binadamu tunapenda kukutia moyo uendelee kujilinda wewe pamoja na uwapendao.

Ndugu RAIA MWEMA,...
Yaani ningekuwa na uweledi kama wa Pascal Mayalla, ningelikusanya threads zoooooote zenye "makasudio ya kufungua kesi" zilizomo humu na kuulizia mustakabali wake.
 
Serikali ni ya kishetani bunge ni la kishetani...m
 
M
Vipi kuhusu Mheshimiwa Selasini Mbunge wa Rombo aliyetangaza hadharani kujivua uwanachama wa Chadema na kuhamia NCCR-Mageuzi na bado anaendelea na ubunge?.

Yaani Chadema inatangaza kwamba Wabunge wake waliohamia NCCR Mageuzi wataendelea na Ubunge lakini aliyehamia CCM avuliwe, hii ni akili?...
Mkuu umeongea vizuri. Bahati mbaya Chadema hawatumii weledi katika maamuzi yao. Jazba na husda ndio zinawaongoza. Mwisho wa siku hawakidhi mahitaji ya kisheria halafu wanakuja JF kulalamika wameonewa.

Kuhusu hao jamaa, jua kabisa hawawezi kufungua kesi kwa sababu hakuna wakili msomi anayeweza kwenda kujiaibisha!
 
ngoja tusubiri..time will tell no one will reign forever...

ndo yale yakuja kushtakiwa ukiwa umeshastaafu ..kila kukicha mahakamani badala ya kukaa na kula pension yako
 
Uvunjaji wa sheria uliofanywa na Spika na serikali umewafanya praise team na MATAGA kukaa kimya kabisa na kuwa mbali na mijadala inayolalamikia kitendo hicho
Timu ya kusifu na kuabudu jitokezeni msikae mbali katika hili.
 
Wanavuta pumzi mkuu ,watakuwa tu Kuna mtu anaitwa Bia Yetu....bila Shaka atakuwa bia yao, 😉 😉 😉 !Huyo huo anatetea tu na kubisha bila hoja...!
 
Uvunjaji wa sheria uliofanywa na Spika na serikali umewafanya praise team na MATAGA kukaa kimya kabisa na kuwa mbali na mijadala inayolalamikia kitendo hicho
Timu ya kusifu na kuabudu jitokezeni msikae mbali katika hili.
Wakijitokeza niambie

Jr[emoji769]
 
Ndugai speaker 1 kushitakiwa kuhujumu uchumi na nchi subiria
 
Mheshimia Selasini hajajivua msikilize vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamujibu wa katiba "Mbunge akishajivua uanachama ama kuvuliwa uanachama na chama kilichomdhamini kugombea, automatic anakuwa amepoteza sifa ya kuwa mbunge hata kama hatatangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Kwahiyo mwambe na 30 hawana sifa kabisa za kuendelea kuwa wabunge labda kama watachaguliwa upya ndani ya jezi zao mpya. Tunaelewna?
 
Ndugai speaker 1 kushitakiwa kuhujumu uchumi na nchi subiria
Kila kabila lina tabia zake, zinafuata tabia za koo, alafu familia mwisho tabia ya mtu mmoja mmoja.

Angalia tabia za uongozi, kuanzia John malecel, Ndugai, waziri wa mambo ya nje,
Utaona zinafanana. NI TABIA YA WAGOGO, HAWAJIAMINI KABISA. NI WATU WA JUJIPENDEKEZA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hao Mataga na Praise team wenyewe hawana tofauti na bendera! Wenyewe hufuata tu uelekeo wa upepo. Usije ukashangaa wakija kwa kasi huku wakiunga mkono hicho kitendo. Ndivyo walivyo siku zote! Wapo kama misukule tu.
 
Back
Top Bottom