Patandi
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 420
- 397
Unafikiri kuna njia nyingine ipi badala ya Mahakama. Naomba nifahamishe usinitusi.Mataga mmeshikwa pabaya safari hii,hata praise team
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri kuna njia nyingine ipi badala ya Mahakama. Naomba nifahamishe usinitusi.Mataga mmeshikwa pabaya safari hii,hata praise team
Ndiyo tulizonazo! Je, kuna njia mbadala?Hizi nazo ni mahakama?
Wastage of time and resources.Hawana lolote wanalojadili, bali wanaweka nakshi kwenye bajeti ya serikali.
Hayo maagizo toka juu, ambayo hayataki kuitii Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo Jiwe aliapa kuitii na kuiheshimu, ndiyo ambacho ninachokisema kuwa kitasababisha umwagikaji mkubwa wa damu nchiniMaagizo toka juu unayajua!?
Hata WHO imekataa kutoa msaada wa pesa kwa Tanzania kutokana na kukiuka haki za binadamu na uvunjifu wa katiba, wanajua Tanzania ya sasa haiendeshwi kwa mujibu wa katiba bali inaendeshwa kwa mujibu wa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM mtukufu mkazi wa chatoHayo maagizo toka juu, ambayo hayataki kuitii Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo Jiwe aliapa kuitii na kuiheshimu, ndiyo ambacho ninachokisema kuwa kitasababisha umwagikaji mkubwa wa damu nchini
minyooNdungai siyo spika wa Bunge ni spika wa mtukufu malaika toka chato ni Aina ya spika wa ajabu kupata kutokea Duniani.
Ndiko wanalazimisha wafike sasa kwa ujinga huo mda si mrefu wananchi watachokaminyoo
Ndiyo maana nikasema wananchi watafika mahala watashindwa kuendelea kuvumilia maonevu hayo wanayofanyiwa wapinzani.............
Ndipo hapo ninaposema kuwa amani ya nchi hii itatoweka
Kwahiyo unawachochea ili wakiritaliate useme wahaini?We jamaa upeo wako ni mdogo sana. Kwanza unasubiriaga ishu inaongelewa siku kibao unaibuka nayo upya. Pili unawaongelea watanzania wapi?, Alifungwa Lema, Sugu , mwisho Mbowe kwa miezi kadhaa kuna mtanzania ulimuona akiinua pua yake kuwatetea?, Hapa namaanisha Arusha, Mbeya Kisha upinzani kwa ujumla(Mbowe).. Sasa wananchi gani watafika wapi washindwe kuuvumilia?, bado miezi miwili mnatakiwa mtaje mgombea wenu wala hamjui mtamchagua nani?, Nyie ni wa kupuuzwa tu.
Jerusalem2006We jamaa upeo wako ni mdogo sana. Kwanza unasubiriaga ishu inaongelewa siku kibao unaibuka nayo upya. Pili unawaongelea watanzania wapi?, Alifungwa Lema, Sugu , mwisho Mbowe kwa miezi kadhaa kuna mtanzania ulimuona akiinua pua yake kuwatetea?, Hapa namaanisha Arusha, Mbeya Kisha upinzani kwa ujumla(Mbowe).. Sasa wananchi gani watafika wapi washindwe kuuvumilia?, bado miezi miwili mnatakiwa mtaje mgombea wenu wala hamjui mtamchagua nani?, Nyie ni wa kupuuzwa tu.
Siyo tu dhaifu, bali ni aibu kubwa kwa Spika wa Bunge kufanya mambo ya kitoto ya aina hiyo
Ni kesi muhimu sana, tatizo Je , Tuna Mahakama? Kuna Makahama Kuu yenye ubavu wa kukataa "amri kutoka juu"?
Concern yangu ni hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maagizo toka juu unayajua!?