Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.
Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika.
Tendo la ndoa na liheshimiwe na wanandoa wote.