Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.

Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.

Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.

Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika.

Tendo la ndoa na liheshimiwe na wanandoa wote.
😅😅😅 simu inapaswa kuwa silence au no disturb...

ila mkumbuke NIDA , INEC pamoja na chama vinaonana na kuwasiliana 😎
 
Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.

Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.

Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.

Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika.

Tendo la ndoa na liheshimiwe na wanandoa wote.
Hivi ile ni sherehe au ni jihad
 
Back
Top Bottom