Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

Naijua hii, Nilishaachwa na mubeib guest kisa simu! Niliumia sana, ila nikavusha chuma nyingine hapo hapo😅😅
Hii ilishanitokea, aliondoka ila baada ya dakika 20 akapiga kama mara 3 sikupokea akarudi mbio huku akilia, baadae ananiambia kawaza ningetafuta mwingine.
 
Mimi huwa naweka do not disturb ila ikiita zaidi ya mara 3 inatoa sauti nazingatia kupokea.
 
Mi wangu huwa anapokea simu na kuongea na huku tunaendelea kufanya yetu, nikimuuliza ananiambia tupo nyuma muda,🤗
 
Back
Top Bottom