Bi zandile
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 459
- 1,155
Baambie waache kuharibu mood za mabeibe wao kwa kuwasha simu mida ya minyanduano.
Wewe ni wale wale msioheshimu tendo la ndoa yaani hata shetani anakushangaaKu lombana !!!!, kuheshimiwe kivip , yani uache kupokea simu za michongo ya maana kisa ku,loombana? Binti tafuta kazi za kukuweka bize ,kipururu sio kitu ya kuzingatia kihivyo.
Una kipururu leo wewe , sio bure bure tu🤔Wewe ni wale wale msioheshimu tendo la ndoa yaani hata shetani anakushangaa
mimi huwa nazima kabisaImagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.
Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika.
Tendo la ndoa na liheshimiwe na wanandoa wote.
Haikuhusu nikiwa nachoUna kipururu leo wewe , sio bure bure tu🤔
Ubarikiwe sanamimi huwa nazima kabisa
Hata tukizagamuana huku tunachati haikuhusu piaHaikuhusu nikiwa nacho
asanteUbarikiwe sana
Wewe mdada anayekumiliki anakufaidi haswa 😂Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.
Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika.
Tendo la ndoa na liheshimiwe na wanandoa wote.
Wewe ni kibabu?Hata tukizagamuana huku tunachati haikuhusu pia
Na vitoto vya 2009 vinatupa ushauri humu hatari sana🤣🤣🤣Wewe ni kibabu?
Naachaje kuacha kupokea simu kwa mfano, huyo babe mwenyewe atashangaa.Ku lombana !!!!, kuheshimiwe kivip , yani uache kupokea simu za michongo ya maana kisa ku,loombana? Binti tafuta kazi za kukuweka bize ,kipururu sio kitu ya kuzingatia kihivyo.
Naijua hii, Nilishaachwa na mubeib guest kisa simu! Niliumia sana, ila nikavusha chuma nyingine hapo hapo😅😅
Aya bhana kila la heri kwenye mechi zakoImagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike.
Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako.
Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru.
Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika.
Tendo la ndoa na liheshimiwe na wanandoa wote.
Mm hata kukitokea tetemeko la ardhi siwezi kuacha nyapu
Nani mtoto humu?Na vitoto vya 2009 vinatupa ushauri humu hatari sana🤣🤣🤣