Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
njoo unifundishe kwa vitendoMimi huwa naweka kindege, sitakagi shida kabisa wakati adhimu kama huo๐
Mimi huwa nazima na kuiweka mbali kabisa...!!!mimi huwa nazima kabisa
Wewe mbona unaonekana ni mzoefu?njoo unifundishe kwa vitendo
๐๐๐๐๐Kwa nini nisipende hiyo tiba asilia?
Na mimi siyo nduguyo ๐Mimi sio ndugu yako
๐ฎNa mimi siyo nduguyo ๐
Hii ilishanitokea, aliondoka ila baada ya dakika 20 akapiga kama mara 3 sikupokea akarudi mbio huku akilia, baadae ananiambia kawaza ningetafuta mwingine.Naijua hii, Nilishaachwa na mubeib guest kisa simu! Niliumia sana, ila nikavusha chuma nyingine hapo hapo๐ ๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ asije akawa ni doktoriOii umekua mkali sana leo usikute umesahau kuswitch ID ๐๐๐
Sina uzoefu wowote,ni mbwembwe tuWewe mbona unaonekana ni mzoefu?