Finaly umeona the big picture, vyama vya siasa haswa upinzani hawatoweza kufanya lolote until wananchi wenyewe watakapo amkaHuwa nasema kila siku humu, usihatarishe Maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watz wangekuwa wanajielewa ccm ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lisu kawa kilema sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko ccm, upumbvu mtupu.
Watz wanachoweza ni
Ngono, uchawi, majungu na umbeya tu.
Siyo kila mtu ana roho ngumu kama wewe. Kuna watu wakiona mtu anaonewa bila sababu au watu wanaibiwa au kufa kwa sababu ya watawala, roho zao huumia na hawezi kuishi kwa raha bila kuwatetea. Unajua Mandela alikaa gerezani miaka mingapi kwa ajili tu ya kutetea watu wake? Kama unatetea watu ili upate malipo au cheo utaishia kuwa kama Msigwa.Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe Maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watz wangekuwa wanajielewa ccm ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lisu kawa kilema sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko ccm, upumbvu mtupu.
Watz wanachoweza ni
Ngono, uchawi, majungu na umbeya tu.
Na wananchi hawawezi kumka bila kuamshwa. Shida ya watanzania wengi ni kuwa wamezoea short-cut. Mtu kama wewe unataka matokeo ya haraka haraka. Tangu lini ukombozi ukaja kirahisi?Finaly umeona the big picture, vyama vya siasa haswa upinzani hawatoweza kufanya lolote until wananchi wenyewe watakapo amka
Basi natuwateteee wala kwa urefu wa kamba zao a.k.a chain zao🫠Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe Maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watz wangekuwa wanajielewa ccm ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lisu kawa kilema sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko ccm, upumbvu mtupu.
Watz wanachoweza ni
Ngono, uchawi, majungu na umbeya tu.
Sijazoea short cut ila na state facts, how many years wapinzani wamekuwa wakipiga kelele? Matokeo yake mpaka sasa yamekuwaje?Na wananchi hawawezi kumka bila kuamshwa. Shida ya watanzania wengi ni kuwa wamezoea short-cut. Mtu kama wewe unataka matokeo ya haraka haraka. Tangu lini ukombozi ukaja kirahisi?
Unadhani hali ilivyokuwa mwaka 1995 ni sawa na ilivyo sasa? Hali imebadilika sana na kikwazo sasa hivi kiko kwenye uchaguzi na utangazaji wa washindi tu. Nakuapia CCM ingekuwa inajua kuwa wananchi wanaipenda isingekuwa inapora uchaguzi. Hiki kikwazo cha kupora matokeo na kutangaza ndivyo sivyo kuna siku kitatengiliwa. Kingine: hivi hujui umuhimu wa opposition kwenye nchi yoyote?Sijazoea short cut ila na state facts, how many years wapinzani wamekuwa wakipiga kelele? Matokeo yake mpaka sasa yamekuwaje?
Wananchi hao hao unawapigia kelele waamke, ukibanwa na wahusika , wananchi hao hao hakuna anakaa upande wako, probably watajificha ndani. Mpaka lini?
Kilema cha Lissu ñi yule mhuni, mwendazake! Shwaini!Siyo kila mtu ana roho ngumu kama wewe. Kuna watu wakiona mtu anaonewa bila sababu au watu wanaibiwa au kufa kwa sababu ya watawala, roho zao huumia na hawezi kuishi kwa raha bila kuwatetea. Unajua Mandela alikaa gerezani miaka mingapi kwa ajili tu ya kutetea watu wake? Kama unatetea watu ili upate malipo au cheo utaishia kuwa kama Msigwa.
Wataganyika ni werevu na ndiyo maana CCM inatumia nguvu nyingi za kimafia kuwaondolea ujasiri baashi ya watu wanaojitolea kuendeleza mapambao.Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu!
Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea tu.
=====
Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’
Uchaguzi kuporwa ni moja ya tatizo, lakini pia kuna mengine ambayo yana effect maisha ya mtanzania direct, kodi, management ya fedha, kuna nyakati zinaongezwa bila kutaarifiwa, watu wako kimya tu, sana sana watalalamikia mitandaoni lakin nothing else will be done? Why?Unadhani hali ilivyokuwa mwaka 1995 ni sawa na ilivyo sasa? Hali imebadilika sana na kikwazo sasa hivi kiko kwenye uchaguzi na utangazaji wa washindi tu. Nakuapia CCM ingekuwa inajua kuwa wananchi wanaipenda isingekuwa inapora uchaguzi. Hiki kikwazo cha kupora matokeo na kutangaza ndivyo sivyo kuna siku kitatengiliwa. Kingine: hivi hujui umuhimu wa opposition kwenye nchi yoyote?
Watu wanakauli chafu mkuu,yaan matusi hayaingii ndani🙌Tuwe makini kwa ndimi zetu ndani ya mitandao hatuko salama ki vile katika kuzungumza lugha za kukera nafsi zingi