Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

Ngono ni basic need, every human needs it wala sio makosa kaka!

Tuongee yote ila tusilichanganye hili tendo takatifu kama kosa

Hata yeye ni product ya hilo tendo.
 
I'd go a step further, usihatarishe maisha yako kufanya ujinga in the name of kutetea wanyonge au ni haki yako. Mtu ana choma picha ya Rais ili iwaje? Ni haki yako inaprove nini? Vijana wajue utakae umia ni wewe na familia yako.
 
Na Wazee wengine walitengenezewa kashfa mbaya sana ya kuwadhalilisha katika maisha yao yote 🥲

Halafu kuna watu Eti wanadiriki kuusifu utawala wa awamu ya Nne kwamba ulikuwa ni wa Kistaarabu !
Mabaya yote yanayoendelea sasa yalianzia kipindi hicho !😳
Watu walishazoea kufanya mabaya,malipizi...Ivo wanachukulia kawaida sana
 
Back
Top Bottom