To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakika,na kauli za kudhalilishana si nzuri kabisakukosoa si tatizo, ila shida ni pale lugha zenye kuudhi/matusi zinapotumika kiukweli si jambo lenye kupendeza hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika,na kauli za kudhalilishana si nzuri kabisakukosoa si tatizo, ila shida ni pale lugha zenye kuudhi/matusi zinapotumika kiukweli si jambo lenye kupendeza hata kidogo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]Siyo kila mtu ana roho ngumu kama wewe. Kuna watu wakiona mtu anaonewa bila sababu au watu wanaibiwa au kufa kwa sababu ya watawala, roho zao huumia na hawezi kuishi kwa raha bila kuwatetea. Unajua Mandela alikaa gerezani miaka mingapi kwa ajili tu ya kutetea watu wake? Kama unatetea watu ili upate malipo au cheo utaishia kuwa kama Msigwa.
Haha.Ngono ni basic need, every human needs it wala sio makosa kaka!
Tuongee yote ila tusilichanganye hili tendo takatifu kama kosa
Kwenye nchi za kishenzi kama za kwetu!URAIS ni taasisi kubwa sana,
DUh.!!!Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu!
Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea tu.
Nani anayeamua yapi ni matusi, yapi ni lugha ya kuudhi na yapi ni lugha ya kistaarabu? Btw, Kiongozi akisema uongo na kuambiwa hadharani amedanganya, au akifanya ufisadi akaambiwa hadharani ameiba huko ni kukosolewa au ni matusi? Pili, hiyo lugha ndiyo ya kuudhi au sio? Kwa mujibu wa nani?kukosoa si tatizo, ila shida ni pale lugha zenye kuudhi/matusi zinapotumika kiukweli si jambo lenye kupendeza hata kidogo.
Naunga mkono hoja.Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu!
Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea tu.
=====
Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’
Unafikiri hao kina lema wapo kwaajili ya kukutetea wewe? Wale wapo kwaajili ya kukutetea maslahi yao kisiasa tuHuwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu!
Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea tu.
=====
Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’
Itafika mahali itabidi WAMUOGOPE Mungu 🙏🙌Wataganyika ni werevu na ndiyo maana CCM inatumia nguvu nyingi za kimafia kuwaondolea ujasiri baashi ya watu wanaojitolea kuendeleza mapambao.
Mfano mdogo tu CCM haikushinda uchaguzi 2020...nasema uongoo?
Udhalilishaji ulianzia kwenye utawala wa awamu ya NNE kisha ukaendelezwa !Hakika,na kauli za kudhalilishana si nzuri kabisa
Aisee...na wazee walipigwa vibao kabisa na bado vyeo wakapewaUdhalilishaji ulianzia kwenye utawala wa awamu ya NNE kisha ukaendelezwa !
Wapo waliozawadiwa vyeo kwa sababu ya kuwadhalilisha hadi Wazee !
Tatizo mmezoea kuwatetemekea miungu watu kwa hiyo kila kauli itakayotumika unahisi kama ni kauli ya kuudhi.Hakika,na kauli za kudhalilishana si nzuri kabisa
Sasa hawa unaowaongelea wote walikuwa ndani ya Chama kimoja ndio maana ikazimwa,ingekuwa ni wa chama cha upinzani ndio amefanya hivyo ingekuzwa sana na kuonekana bonge la jangaUdhalilishaji ulianzia kwenye utawala wa awamu ya NNE kisha ukaendelezwa !
Wapo waliozawadiwa vyeo kwa sababu ya kuwadhalilisha hadi Wazee !
Tatizo ww unataka hao watanzania na family zao watangulie huku ww ukiwa umejiificha. Huo ni unafiki na ujinga.Kwanini ww usianze Kuandamana na family yako na ukoo wako, halafu watanzania wengine watafuata nyuma. Lakin unawatukana watanzania wakati www mwenyewe umejiificha kwenye keyboard.. SIO SAWA.Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!
Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo.
Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu!
Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea tu.
=====
Pia soma: Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’
Na Wazee wengine walitengenezewa kashfa mbaya sana ya kuwadhalilisha katika maisha yao yote 🥲Aisee...na wazee walipigwa vibao kabisa na bado vyeo wakapewa
Kabisa kabisa !Sasa hawa unaowaongelea wote walikuwa ndani ya Chama kimoja ndio maana ikazimwa,ingekuwa ni wa chama cha upinzani ndio amefanya hivyo ingekuzwa sana na kuonekana bonge la janga
Ndio maana mimi niko zangu nmetulia sijihangaishi na wqpumbavuTatizo ww unataka hao watanzania na family zao watangulie huku ww ukiwa umejiificha. Huo ni unafiki na ujinga.Kwanini ww usianze Kuandamana na family yako na ukoo wako, halafu watanzania wengine watafuata nyuma. Lakin unawatukana watanzania wakati www mwenyewe umejiificha kwenye keyboard.. SIO SAWA.