Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji106]
 
Huyo mwanasheria wao wanaemtegemea majuzi kala virungu huko Mbeya na viongozi wenzake wakitaifa.

Wao wenyewe ujasikia wakiifungulia kesi jeshi la polisi hata ya civil wakati ni wazi huyo aliewakamata huko Mbeya hana police jurisdiction ya kufanya aliyofanya.

Kama sheria makosa wanayo tuhumiwa nayo yamefanyika Mbeya ambao ni mkoa wa ki-polisi (jurisdiction), kwanini waburuzwe usiku usiku hadi Mufindi, Iringa na Dar; na kuumizwa juu.

Ni wazi lile tukio lilikuwa la unyanyasaji na wana sababu zote za kufungua kesi za madai na kuripoti jeshi la polisi kwa mwenendo wa hovyo.

Sasa kama wao wenyewe hawawezi jisaidia na huyo mwanasheria wao wanamuona machachari watawasaidia hawa wenzangu na mimi yakikukuta.
 
kukosoa si tatizo, ila shida ni pale lugha zenye kuudhi/matusi zinapotumika kiukweli si jambo lenye kupendeza hata kidogo.
Nani anayeamua yapi ni matusi, yapi ni lugha ya kuudhi na yapi ni lugha ya kistaarabu? Btw, Kiongozi akisema uongo na kuambiwa hadharani amedanganya, au akifanya ufisadi akaambiwa hadharani ameiba huko ni kukosolewa au ni matusi? Pili, hiyo lugha ndiyo ya kuudhi au sio? Kwa mujibu wa nani?
 
Naunga mkono hoja.
Imagine unatumia muda wako,unatumia gharama mbalimbali kupambana na viumbe hatarishi kwa sababu ya kuwakilisha mamilioni ya watu ambao wenyewe hawana habari wanashangilia simba na yanga.
Ukipata madhara wanaanza kuropoka"lakini jamaa kazidi ni mjuajsana aliyataka mwenyewe
 
Unafikiri hao kina lema wapo kwaajili ya kukutetea wewe? Wale wapo kwaajili ya kukutetea maslahi yao kisiasa tu
 
Wataganyika ni werevu na ndiyo maana CCM inatumia nguvu nyingi za kimafia kuwaondolea ujasiri baashi ya watu wanaojitolea kuendeleza mapambao.

Mfano mdogo tu CCM haikushinda uchaguzi 2020...nasema uongoo?
Itafika mahali itabidi WAMUOGOPE Mungu 🙏🙌
 
T
Hakika,na kauli za kudhalilishana si nzuri kabisa
Tatizo mmezoea kuwatetemekea miungu watu kwa hiyo kila kauli itakayotumika unahisi kama ni kauli ya kuudhi.
Hebu angalia lugha zinazotumika na wanasiasa pamoja na wanaharakati wa Kenya kisha linganisha na lugha zinazotumika Tanzania kisha utuambie hiyo lugha ya kukera ni ipi
 
Udhalilishaji ulianzia kwenye utawala wa awamu ya NNE kisha ukaendelezwa !
Wapo waliozawadiwa vyeo kwa sababu ya kuwadhalilisha hadi Wazee !
Sasa hawa unaowaongelea wote walikuwa ndani ya Chama kimoja ndio maana ikazimwa,ingekuwa ni wa chama cha upinzani ndio amefanya hivyo ingekuzwa sana na kuonekana bonge la janga
 
Tatizo ww unataka hao watanzania na family zao watangulie huku ww ukiwa umejiificha. Huo ni unafiki na ujinga.Kwanini ww usianze Kuandamana na family yako na ukoo wako, halafu watanzania wengine watafuata nyuma. Lakin unawatukana watanzania wakati www mwenyewe umejiificha kwenye keyboard.. SIO SAWA.
 
Aisee...na wazee walipigwa vibao kabisa na bado vyeo wakapewa
Na Wazee wengine walitengenezewa kashfa mbaya sana ya kuwadhalilisha katika maisha yao yote 🥲

Halafu kuna watu Eti wanadiriki kuusifu utawala wa awamu ya Nne kwamba ulikuwa ni wa Kistaarabu !
Mabaya yote yanayoendelea sasa yalianzia kipindi hicho !😳
 
Ndio maana mimi niko zangu nmetulia sijihangaishi na wqpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…