I'd go a step further, usihatarishe maisha yako kufanya ujinga in the name of kutetea wanyonge au ni haki yako. Mtu ana choma picha ya Rais ili iwaje? Ni haki yako inaprove nini? Vijana wajue utakae umia ni wewe na familia yako.
Na Wazee wengine walitengenezewa kashfa mbaya sana ya kuwadhalilisha katika maisha yao yote 🥲
Halafu kuna watu Eti wanadiriki kuusifu utawala wa awamu ya Nne kwamba ulikuwa ni wa Kistaarabu !
Mabaya yote yanayoendelea sasa yalianzia kipindi hicho !😳