Usiichukulie poa Tanzania katika medani za kivita, walioijaribu walifutika

..tunaweza kushinda.

..kwani tulipowadunda m23 na Rwanda waziri wa ulinzi si alikuwa Husseni?

..Na Husseni alikwepa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria?

..ushanfahamu?
Mkuu enzi zile za kina Idd Amin tulipiga gorilla war,sasa hivi wenzetu kama Rwanda wana silaha,wanaupdate silaha zao, hivi tuna silaha kweli za maana na kujiamini kwamba tupo vizuri ? Leo hii sidhani kama tunaweza kutoka mipaka yetu tukaenda kumfuata adui kwake na kumpiga.

Swali langu je silaha zipo? Jeshi letu limeficha silaha tusizione? Maana tukiaanza kugoogle takwimu hapa ambazo zipo wazi tutakuwa nyuma ya wenzetu.
 
..matumizi ya silaha mara nyingi ni uharibifu.

..uharibifu wa maisha, uhai, au mali.

..badala ya kushindana nchi gani ina silaha kumzidi mwenzake, tushindane nchi gani ina vifaa vya kilimo kumzidi mwenzake.

..badala ya kushindana nchi gani ina wanajeshi / wauwaji wakatili zaidi, tushindane nchi gani ina wakulima wenye maarifa kuzidi nyingine.

..kwa kifupi tushindane kwenye mambo yanayoboresha maisha ya raia ktk nchi zetu.
 
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..

Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....

Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...

Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....

Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...

Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..

Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema

"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...
Inaonekana inanguvu kwasabab imekubali kuwalamba mabwenyenye!As long as Tz bado imekumbatia mikataba ya kikoloni kwa maliasili zake,imekubali kucheza tune ya mataifa ya magharibi kiasi kwamba haiwez hata kushirikiana kwa uwazi na mataifa hasimu ya magharibi(Urusi/Iran/Cuba/Venezuela/Nicaragua nk) basi tunaachwa tulivu na kwahyo tunaonekana tunaamani na tupo imara kijeshi lakini kwa ground sisi ni chui wa karatasi!
You want to prove me wrong ask Tshisekedi of Congo,amejifanya anataka kujielekeza Urusi mataifa ya magharibi yamemtumia Kagame kumsambaratisha.No one will stop Kagame unless his masters(the west) waliomtuma wamzuie,literally no one hata ninyi mkienda mtapigwa
 
Mkuu simulizi siku zote hutiwa chumvi.

Wanajeshi wetu ni mahiri kwa kumwaga vyakula vya mama ntilie na kuzima maandamano ya chadema tu.

Lkn kwenye vita serious hakuna kitu, kila mwaka wanachezea kichapo kwa M23.
Ni wapi JWZT walimwaga chakula na kuzima maandamano ya Chadema?
 
Umesahau walipewa kazi ya kufagia mitaa siku ambayo chadema wamepanga maandamano?

Ushawahi kusikia jeshi la Marekani linafanyishwa kazi za kijinga namna hii?

Na kuna mwaka JWTZ waligeuzwa kuwa makuli wa kukusanya korosho. 😂 😂
 
Ni jambo baya Jeshi kuwa sehemu ya chama cha siasa au kupelekeshwa na wanasiasa wabadhilifu wenye uchu wa madaraka na kusahau mipaka na wajibu wao kwa raia
 
Sasa hivi ikitokea Tanzania tukavamiwa,mimi nitaungana na maadui kuwaonyesha viongozi wa serikali na ccm walipo.
 
Nyie ndiyo mlikuwa mnapinga ujenzi wa SGR
 
Nadhani ni Tanzania pekee kwa ukanda wetu ndio ina mfumo wa kuwapeleka wahitimu jeshini, na kuwa na mfumo wa kujiunga jeshi kwa lengo la kujitolea... So kimantiki.. Tanzania ina wanajeshi wengi sana... Ukiachana na hao ambao wapo kambini
 
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23.
Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa vya Comoro tukarejesha Amani ya ukanda ambapo napo aliibuka jamaa mmoja akaanza kudharau na kupuuzia heshima ya Bara la Africa..

Kwa msiojua historia mwaka 1978/1979 Tanzania tuliingia Uganda tukampiga nduli Iddi Amini Dada,ambaye by that time alikuwa anasaidiwa na Libya ya Gaddafi Katika silaha na fedha,the rest was history mnafahamu namna Mwalim alipotoa speech yake pale Karimjee hall,Sababu ya kumpiga ilikuwepo,Nia ilikuwepo na uwezo ulikuwepo hatukusubiri tamko la AU wala UN ila tuliilinda bendera ya Tafaifa yenye rangi nne....

Kwa msioifahamu Tanzania vizuri mwaka 2008 tuliongoza kamati maalumu ya usuluhishi wa Amani pale Kenya baada ya uchaguzi mkuu kumalizika zikaibuka vurugu baina ya wafuasi wa Odinga na hayati Mzee Mwaikibaki na kwa meza Ile ya diplomasia iliyosimamiwa na hayati Mkapa na Kenya ikarudi kuwa Taifa moja...

Kwa msioifahamu Tanzania,ndio Taifa ambalo linahusika kwa 100% juu ya Hali ya kisiasa na usalama wa msumbiji,kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi they know how Tanzania great HE IS....

Msioifahamu,Hiyo S Afrika mnayosemea,Zimbabwe,Uhuru wake ni matokeo ya Tanzania huru iliyoamua kupambana dhidi ya ubepari na ukoloni na hatimae kuyaletea Uhuru mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara...

Nawashangaa ambao hawaoni cha kujivunia juu ya Tanzania,nawadharau Sana watu ambao ni blank minded they ignore the beautiful and powerful history ya Tanzania Katika UKANDA huu wa kusini mwa jangwa la Sahara,kwasababu hamjachagua kuiweka Tanzania ndani ya mioyo yenu..

Lastly Nendeni pale Malawi muwaulize juu ya umuhimu WA Tanzania Katika kulinda Amani ya UKANDA na mipaka na diplomasia!! Nimeandika haya kuwakumbusha vijana mnaofatilia siasa za mitandaoni bila field kuwa TANZANIA ndo Taifa pekee kusini mwa jangwa la Sahara ambalo linahistoria ya kuunganisha na kulinda umoja na mshikamano WA mataifa hayo,ndio maana ubeti WA Kwanza WA wimbo WA Taifa unasema

"MUNGU UBARIKI AFRIKA" Tunajua umuhimu wa Tanzania Afrika na AFRIKA inajua umuhimu wa Tanzania ndani ya uzao WA mama Afrika...
Mnapenda kuongelea historia jeshi lenu haliko hivyo tena ndo maana mr slim na ontelijensia yale wana jeuri na hamna cha kiwafanya
Jeshi letu ni dhaifu sana
 
Mkuu enzi zile za kina Idd Amin tulipiga gorilla war,sasa hivi wenzetu kama Rwanda wana silaha,wanaupdate silaha zao, hivi tuna silaha kweli za maana na kujiamini kwamba tupo vizuri ? Leo hii sidhani kama tunaweza kutoka mipaka yetu tukaenda kumfuata adui kwake na kumpiga.

Swali langu je silaha zipo? Jeshi letu limeficha silaha tusizione? Maana tukiaanza kugoogle takwimu hapa ambazo zipo wazi tutakuwa nyuma ya wenzetu.
Naamini silaha tunazo, na si lazima kuzionyesha onyesha, mfano pale mashariki ya kati, sidhani kama Israel ana tabia ya kuonyesha onyesha silaha zake ukizingatia kwamba ni mkorofi na amezungukwa na maadui, tena adui si wa mbali
 
Mnapenda kuongelea historia jeshi lenu haliko hivyo tena ndo maana mr slim na ontelijensia yale wana jeuri na hamna cha kiwafanya
Jeshi letu ni dhaifu sana
Walilijaribu juzi tu wale wa kibiti
 
Itoshe kusema hatuna wasiwasi na JWTz inatuheshimisha. Kwa wasiojia na wanaletewa propoganda za mitandaoni TPDF ni Army na sio Military hapa sitoi ufafanuzi, na kuwa haliko Kisiasa,ni complex kama ilivyo TISS kwa hiyo wanaona ziko kisiasa wasikosolewe hiyo ni minor angle waliotumia kuchungulia.
Huu ndio ukweli HATUTANZISHA vita na moja ya jirani zetu abadan ila tutadefend interest za nchi yetu to the last drop of our blood na interest za wanaoteswa ikihitajika.
Ukweli sisi tuko pale adui yetu katika maziwa makuu na kusini mwa Afrika alipo.
Humu kuna propoganda kwa kutumia media nyingi
Ikiwa itabidi japo tunaepusha tuta act na whoever itakuwa ameamua uwe mwisho wake ameamua ku commit suicide mikono mwetu.
Narudia sisi ni Army and not Military. Tupo alipo in a dominant state as dead one, lkn tuuko hai ikiwa ataruhusu.
Watu kwenye Mwamvuli wa kimataifa na sheria zake, ni kama tuko kugombelezea tunaweza kuumizwa kwa ugomvi wa wengine tukijaribu kuwatetea ndugu zetu wasigombane.
Vita sio NZURI, NI YA KUEPUKA KWA GHARAMA ZOTE.
Na Mapigano ni zaidi wa ukubwa wa Jeshi yaani rasilimali watu, ni zaidi ya zana bora na teknolojia ni zaidi ya kuwa safi kiuchumi ndio maana Israeli inasumbua, USA alifeli na Viet, Afaghans
Viva TPDF/ JWTZ, viva wa Tz
Ngoja tusubiri hatua DAMU YA HATIA MIKONO
hukuiona hii...

1738872311496.png
 
Back
Top Bottom