Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.

Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark

Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.

Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.

Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.

Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.

Si ungeendesha lako toka dar unalolosifia, umaskini mbaya, mkishachukua mikopo ya 17,000 mkanunua forester mnaona mmefika sana, kuna fortuner ya 80m, na bado tukipewa hata lift ya toyo na jirani tunashukuru
 
jamaa amechekesha sana. ila ukweli, pamoja na kwamba yote ni magari na ushukuru kwa ulichojaaliwa na Mungu, ila passo unatakiwa kuwa na uvumilivu sana hasa kama njia zako sio za lami. utajuta.
 
🤣😅🤣 tatizo lenu WaTz mpo serious sana maisha... Mbona jamaa kawasilisha hoja ktk namna nzuri tu... Shida ni uelewa wenu tu mdogo
 
[emoji1787][emoji28][emoji1787] tatizo lenu WaTz mpo serious sana maisha... Mbona jamaa kawasilisha hoja ktk namna nzuri tu... Shida ni uelewa wenu tu mdogo
Alichowasilisha ni dharau na majivuno sio mada.
 
Si ungeendesha lako toka dar unalolosifia, umaskini mbaya, mkishachukua mikopo ya 17,000 mkanunua forester mnaona mmefika sana, kuna fortuner ya 80m, na bado tukipewa hata lift ya toyo na jirani tunashukuru
Sasa fortuna ya mil 80 nayo ni gari ya kutangazia watu? We papuchi kweli. Mi nlidhani utakuwa unataka andika kitu cha maana kumbe we nyapu tu.
 
Wa IST wanapita huku wanang'ata meno gari zao zisitajwe
ila leo nilikaa sehem nikaangalia IST inavyopita unaweza kusema kigari Cha mtoto kimefungwa kamba ndefu kinavutwa na mtoto alietangulia
 
🤣🤣🤣🤣
 
Nimecheka sana,kmmmke...ila sema unajua kuna vigari sio vya kuendesha..
 
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.

Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark

Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.

Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.

Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.

Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Japo umeandika kikuda ila kuna ukweli, nimeshashuhudia mara 2 Dualis inawaka moto sijui hata zina tatizo gani
 
Mpaka hivi leo bado anayo au ushakaa juu ya mawe kitambo? Maana hizi gari watu wanalalamika ni majanga ,,lakin ninachoamini hakuna gari mbaya ila kuna matumizi mabaya ..ivo hata Passo ukitumia vizur kutokana na uwezo wake basi utadumu nayo

Ipo inatembea...
 
Japo umeandika kikuda ila kuna ukweli, nimeshashuhudia mara 2 Dualis inawaka moto sijui hata zina tatizo gani
Hasira tu. Hamna kingine. Gari zina hasira sana hazipendi kuendeshwa, hazipendi kulazimishwa mwendo. Hazipendi kunyanyaswa. So basi tu zinaamua bora zife.
 
Si ungeendesha lako toka dar unalolosifia, umaskini mbaya, mkishachukua mikopo ya 17,000 mkanunua forester mnaona mmefika sana, kuna fortuner ya 80m, na bado tukipewa hata lift ya toyo na jirani tunashukuru
Yap mkuu, hakuna haja ya kudharau kinachomsitiri mwenzako
 
Back
Top Bottom