Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #41
We nyapu kweli unafanana na kigari chako passo. Huna tofauti kabisa papuchi wewemoderators pelekeni huu uzi jukwaa la vichekesho. Topic kama hizi ndio zinatufanya watanzania tuonekane wajinga.
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Alichowasilisha ni dharau na majivuno sio mada.[emoji1787][emoji28][emoji1787] tatizo lenu WaTz mpo serious sana maisha... Mbona jamaa kawasilisha hoja ktk namna nzuri tu... Shida ni uelewa wenu tu mdogo
Sasa fortuna ya mil 80 nayo ni gari ya kutangazia watu? We papuchi kweli. Mi nlidhani utakuwa unataka andika kitu cha maana kumbe we nyapu tu.Si ungeendesha lako toka dar unalolosifia, umaskini mbaya, mkishachukua mikopo ya 17,000 mkanunua forester mnaona mmefika sana, kuna fortuner ya 80m, na bado tukipewa hata lift ya toyo na jirani tunashukuru
We ndo papuchi kweli.... Yaani una makasiriko sana. Hueleweki.Alichowasilisha ni dharau na majivuno sio mada.
Basi tukuweke mshale we papuchi. Si wewe upinde? Mimi mshale.... Nyapu wewe.upinde
🤣🤣🤣🤣Wa IST wanapita huku wanang'ata meno gari zao zisitajwe
ila leo nilikaa sehem nikaangalia IST inavyopita unaweza kusema kigari Cha mtoto kimefungwa kamba ndefu kinavutwa na mtoto alietangulia
Japo umeandika kikuda ila kuna ukweli, nimeshashuhudia mara 2 Dualis inawaka moto sijui hata zina tatizo ganiNimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari. Akasema Yes anazo taarifa. Akanipa funguo nichukue gari nje. But kutoka nje sioni gari. Naona Passo tu imepark. Nikarudi kuuliza gari ipo wapi. Akaniambia hiyo hapo Passo. Daaah... Nikashtuka nikawaza basi ni mtie moyo shemeji yangu nikachukua nikaenda zangu Hotel. Nlipark
Passo vigari vina kisirani sana unaweza ukakaa hivi kakajiwasha. Unasikia tu kanyenyeee nyeeee kanyeeee nyeeeeeeeee vrruuuuum..... Halafu kanaendelea kunguruma. Basi unaenda una kazima. Ukiwa unarudi kukaa kanajiwasha tena. Yaani ili mradi kakukere tu.
Wakati mwingine upo barabarani kanasusa kanazima. For no apparent reason. Ukikawasha kanatetemeka kama kana degedege. Yaani ni shida tu kwa kweli.
Nikakumbuka Dualis hizi gari tunaziita Mnyalu. Zina hasira kinoma. Yaani kama wahehe tu. Unaweza ukapark nje ukakuta kamejitia moto. Unashangaa why? Basi tu ndo imeshaamua ife. Yaani kwa watu wengi sasa hivi Dualis wanazipark kwenye swimming pool au ndani ya bwawa la maji.
Maana watu wanakwambia at any tea time inaweza jitia kiberiti ikawaka moto ina hasira kama wahehe. Sasa watu wakipark wanahakikisha ni karibu na maji au wanaenda park pale kariakoo fire. Usije ukanunua hayo magari ni kichefu chefu sana.
Mpaka hivi leo bado anayo au ushakaa juu ya mawe kitambo? Maana hizi gari watu wanalalamika ni majanga ,,lakin ninachoamini hakuna gari mbaya ila kuna matumizi mabaya ..ivo hata Passo ukitumia vizur kutokana na uwezo wake basi utadumu nayo
Hasira tu. Hamna kingine. Gari zina hasira sana hazipendi kuendeshwa, hazipendi kulazimishwa mwendo. Hazipendi kunyanyaswa. So basi tu zinaamua bora zife.Japo umeandika kikuda ila kuna ukweli, nimeshashuhudia mara 2 Dualis inawaka moto sijui hata zina tatizo gani
Yap mkuu, hakuna haja ya kudharau kinachomsitiri mwenzakoSi ungeendesha lako toka dar unalolosifia, umaskini mbaya, mkishachukua mikopo ya 17,000 mkanunua forester mnaona mmefika sana, kuna fortuner ya 80m, na bado tukipewa hata lift ya toyo na jirani tunashukuru