Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

Huu ni ubaya wa hayo magari...
Mtwambie SASA na magari Bora Kwa kununua, yasiyo na USUMBUFU
 
Vip kuhisu Rav 4 Short Chases?
Mtu akinunua akitaka kuuza hapo Baadae wateja wapo kwel au ndio Ndoa ya Kikristu[emoji1][emoji2][emoji3][emoji1][emoji2]
 
Vip kuhisu Rav 4 Short Chases?
Mtu akinunua akitaka kuuza hapo Baadae wateja wapo kwel au ndio Ndoa ya Kikristu[emoji1][emoji2][emoji3][emoji1][emoji2]
Usinunue Rav 4 short chassis. Ya nini? Maana engine inabaki ni size ile ile tofauti ni body tu. Binafsi huwa sizipendi.
 
Wa IST wanapita huku wanang'ata meno gari zao zisitajwe
ila leo nilikaa sehem nikaangalia IST inavyopita unaweza kusema kigari Cha mtoto kimefungwa kamba ndefu kinavutwa na mtoto alietangulia
Hizo zilikua akili zako au za mmea, maana mmea huona visivyoonekana na wengine.
 
We jamaa ni fala, unadhani thread yako inaweza kuathiri soko la hayo magari Tanzania?
Acha sifa za kijinga, haikuwa na haja ya kujua ulisafiri kwa ndege kwenda huo mkoa.
Wanaume wa kweli hatujisifii kwa very cheap things like how you do in here.
Pathetic
 
Huyu jamaa sio chizi anawasoma tu atakuwa TISS huyu sio kawaida ndugu kaaeninae mbali
 
Mwanaume halii lii kama wewe. Na kipasso chako umekaa kwenye gari kama boya. Bwege wewe... 🤣
 
Nimecheka kifala sana[emoji23][emoji23]
 
Mwanaume halii lii kama wewe. Na kipasso chako umekaa kwenye gari kama boya. Bwege wewe... 🤣
Similiki Passo na haina haja ya kutaja gari ninazomiliki ingawa zote ni za Japan ila haukupaswa kuonesha dharau zako na majisifu yako wazi. Kama una hekima utaelewa nisemacho mkuu.
 
Similiki Passo na haina haja ya kutaja gari ninazomiliki ingawa zote ni za Japan ila haukupaswa kuonesha dharau zako na majisifu yako wazi. Kama una hekima utaelewa nisemacho mkuu.
Hekima ni neno pana sana. Hata kulielewa si kila mtu anaweza lielewa. Ni wachache sana huwa tunalielewa. Achana nalo its above youe pay grade. Nimeandika nlichoandika na nikiambiwa niandike naandika tena bila wasiwasi. Na hakuna mtu atafanya kitu.
 
acha sifa za kijinga ulitaka utueleze tu ulisafiri kwa ndege. kenge kweli we kuna gari unaifahamu? Hizo sifa zipeleke kijiweni kwenu
 
Sina uhusiano na kabila hilo na sioni linahusikaje kwenye hoja yangu
kiufupi acha upumbavu huo, andika uzi unaoweza kutoa mchango kwa jamii na Taifa lako. Ona hata haya kuandika upupu km huu. Ndio maana wanawake wanadharau siku hizi.
 
kiufupi acha upumbavu huo, andika uzi unaoweza kutoa mchango kwa jamii na Taifa lako. Ona hata haya kuandika upupu km huu. Ndio maana wanawake wanadharau siku hizi.
Kiufupi acha upumbavu huo, andika uzi unaoweza kutoa mchango kwa jamii na Taifa lako. Ona hata haya kufanya ushoga km huoo. Ndo maana wanawake wanadharau siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…