Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Mwanzo mzuri , tafuta mtaji au fanya mali kauli na wafanyabiashara , mteja akupe drop point ya mzigo wake , ukifikisha mzigo na mteja aki confirm anafanya malipo
 
Sijawahi ingia mitini ndugu yangu na haitatokea kwa jina la YESU KRISTO
Kwa jina la yesu siku imekuwa siyo kabisa maana watu wanasemankwa jina la yesu huku wanapapasa matiti
Kwamba unatumiwa pesa kabisa wewe ndio unaenda au unafanyaje toa ufafanuzi vizur
 
Asanten sana wana jamiiforum mumenipokea na kuniitikia vizuri sana

Mumenipa kazi nyingi sana nashukuru sana
 
Mwanzo mzuri , tafuta mtaji au fanya mali kauli na wafanyabiashara , mteja akupe drop point ya mzigo wake , ukifikisha mzigo na mteja aki confirm anafanya malipo
Kuna wengine ni waoga sana lakin Kuna wengine wanatuma tu pesa wala hawana hata shida kabisa

Lakini cha ajabu wale waoga ni wale wenye kuhitaji mzigo wa thamani ndogo sana
 
Kwa jina la yesu siku imekuwa siyo kabisa maana watu wanasemankwa jina la yesu huku wanapapasa matiti

Kwamba unatumiwa pesa kabisa wewe ndio unaenda au unafanyaje toa ufafanuzi vizur
Ndo changamoto ya siku hizi mtumish jina linatumika vibaya sana

Kama mzigo unahitaji unaweza kutuma pesa au kama unakuja mwenyewe unakuja mimi nakutembeza machimbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…