Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Blaza maelezo hayajajitosheleza..ntaamini vipi wewe sio tapeli..toa kitambulisho chako Cha nida na certification ya kuwa verified
Tuaminiane bro

Mwizi ni mwizi tu hata kama atakupa namba ya mke wake
 
Asante sana kumbe wewe unajua kak

Sasa laki moja kaka ndo unaogopa kuibiwa? Laki moja si ni pesa ambayo hata mtu akiangusha mbele yako unamshitua aokote pesa yake

Sasa laki nayo ni pesa ya kumzulumu mtu?
Basi nakuomba wewe unitumie huo mzigo ukifika nakulipa mana wewe u jasiri pia najua kwako ni pesa ndogo mno, kwangu ni sawa na trillion, wewe najua una hela sana laki si pesa kwako, fanya basi Kama unakubali nikuagize Kama umekubali, fanya Kama umebeti nitumie mzigo mayala
 
1. Ufike wakati Wakristo tuwe na akili, si kila mtu anamwamini Kristo hivyo weka taarifa sahihi na u verify account yako au

2. Weka anwani yako au biashara yako hapo utaaminika.

3. Watu wamelizwa sana hivyo hawahitaji maneno matupu kwani hayo walishaambiwa na wakapigwa.
Kwahiyo kumtaja YESU KRISTO ni kosa kaka?

Mbona Marais wakiwa wanaapa huwa wanashika biblia ya YESU KRISTO?

Kwahiyo nao ni matapeli
 
Basi nakuomba wewe unitumie huo mzigo ukifika nakulipa mana wewe u jasiri pia najua kwako ni pesa ndogo mno, kwangu ni sawa na trillion, wewe najua una hela sana laki si pesa kwako, fanya basi Kama unakubali nikuagize Kama umekubali, fanya Kama umebeti nitumie mzigo mayala
Unaitaji mzigo gan kaka
 
Asante sana bro MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI SANA

Uaminifu ndo mtaji wangu mkubwa kaka
Nakuombea kila la kheri huenda mbeleni hata mimi nikakuagiza vitu
Dunia ndogo sana hii
Tumia wigo mkubwa kujitangaza hata kwenye mitandao
Ila wazee wa kodi wasije kukuzingua tu
All the best
 
Natanguliza shukran zangu kwenu

Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana

Kikubwa tu tupendane
Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo

Pia na kwa wale wanaohitaji marobota au baroo za mtumba viatu na nguo na mikoba

NATEMBEZA PIA WATU AMBAO NI WAGENI HAPA DAR ES SALAAM MAENEO TOFAUTI, kwahiyo ukija dar usiogope sana

Kama unahitaji passport au unahitaji vizza nitakupeleka upate kwa wepesi au kama unasafilisha mzigo wako au kama Kuna mzigo wako umekwama tuwasiliane tusaidiane

Namba yangu ya cm 0621121351

Asantani sana
Tafuta hela kenge wewe
 
Karbuni tuendelee kufanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana
 
Back
Top Bottom