Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Kua❌
Kuwa✅

Mi nikishaona tu mtu hajui kutofautisha maneno mepesi kama hayo naona hapa hamna mwanamke na mawasiliano nakata. Maana utanichosha kukuelekeza.
Kwenye lugha ya Kiswahili hakuna neno Mi kuna neno Mimi

Ndio maana nakwambia kua wewe ni debe tupu.
 
Sijawahi ingia mitini ndugu yangu na haitatokea kwa jina la YESU KRISTO
1. Ufike wakati Wakristo tuwe na akili, si kila mtu anamwamini Kristo hivyo weka taarifa sahihi na u verify account yako au

2. Weka anwani yako au biashara yako hapo utaaminika.

3. Watu wamelizwa sana hivyo hawahitaji maneno matupu kwani hayo walishaambiwa na wakapigwa.
 
You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on....
Mtu mwenyewe unaishi kwenye mashimo huko,akili utazitoa wapi?

Kwisha habari yako,

Nilijua tu usingemaliza hata dakika 10 kwangu,endelea tu ku copy na kupaste,

Siku nyingine hutavamia tena watu hovyo,tumia na ile id yako ya Chizi maa...fa.
 
Kwisha habari yako,

Nilijua tu usingemaliza hata dakika 10 kwangu,endelea tu ku copy na kupaste,

Siku nyingine hutavamia tena watu hovyo,tumia na ile id yako ya Chizi maa...fa.
You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on..
 
Kwisha habari yako,

Nilijua tu usingemaliza hata dakika 10 kwangu,endelea tu ku copy na kupaste,

Siku nyingine hutavamia tena watu hovyo,tumia na ile id yako ya Chizi maa...fa.
You need to learn a little bit young lady. Keep on vomitting....🤣 Toa povu loooote....i hope now umechuchumaa... Go on.. leo utataja malejendari wote....🤣
 
Hii unaongea tu, huwezi fanya biashara kienyeji Kama vile ni ndugu zako wanakutuma. Mbona mie hutaki kunitumia mzigo na hutodhulumiwa unacheza na akili za watu ili uonekane, watu wanakupa challenge za kukusaidia ukue
Hawaga huwaga siyo wezi hawa huwa ni mawinga

Wao faida yao kubwa hutegemea kwenye mzigo, kwa mfano ukimuagiza vitu vya elf tano tano yeye anaingia machimbo yake anaenda kubagain kwa 470 hiyo mia tatu ndo faida yake kwa mfano kama umemuagiza vitu 1000 piga mara mia tatu ndo faida yake

Lakini hawezi kukuibia au kukimbia na pesa yako
 
Dogo nitumie mzigo basi mie ni muaminifu mbona wengi mno wameshanitumiaga mzigo na ukifika ndio nalipa hela, mie sidhulumu mtu.
Ama niweke namba yangu hapa ili uzidi kuniamini.
Mie kwanza naogopa kutenda dhambi
Duh una ugomvi nae nini
 
M
1. Ufike wakati Wakristo tuwe na akili, si kila mtu anamwamini Kristo hivyo weka taarifa sahihi na u verify account yako au

2. Weka anwani yako au biashara yako hapo utaaminika.

3. Watu wamelizwa sana hivyo hawahitaji maneno matupu kwani hayo walishaambiwa na wakapigwa.
Mumeanza lini kupangia watu matumizi ya jina la YESU KRISTO
 
Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha kutapeliwa; hakuna aliyethibitisha kupatiwa bidhaa.
 
Na yeye Ataweka namba yake kwani shida ni namba yu, namie Kuna ishu nahitaji uninunulie nikipata tu Niko Mwanza nakutumia hela,niamini na Mimi ni mwaminifu mno sijawahi kudhulumu
Wazo lako zuri sana

Shida mzigo kuchukua dukan ni mpaka pesa kaka
 
Huyo ni winga,office rasmi bado itakua!!
Asante sana kumbe wewe unajua kak
Unatumia hela yako kwani huniamini Sasa , ama niweke namba yangu hapo. Nahitaji hapo mzigo ambao hauzidi laki moja
Sasa laki moja kaka ndo unaogopa kuibiwa? Laki moja si ni pesa ambayo hata mtu akiangusha mbele yako unamshitua aokote pesa yake

Sasa laki nayo ni pesa ya kumzulumu mtu?
 
Pambana na uzidi kuwa muaminifu
Nina kijana mmoja nilitambulishwa ni muaminifu sana, amejenga jina lake na kulikuza
Nimemtumia sana sana
Anatia huruma maana wanaomtumia wengine hawampi cha ziada
Wamemfanya kama ndugu yao
Ila na wewe uwe muwazi kwa bidhaa unazotumwa kwa bei zake
Ukipandisha cha juu ipo siku utaumbuka tu maana wafanyabiashara wanapeana habari
Weka bayana kila kitu
Mzigo kiasi fulani, usafiri kiasi fulani na wewe unakula ngapi simple
Asante sana bro MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI SANA

Uaminifu ndo mtaji wangu mkubwa kaka
 
Back
Top Bottom