Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
100% , I agreeBe humble...
Be a gentleman...
Huo ni udhaifu, Mwanaume kuomba Msamaha mkeo ni sawa na kujivua madaraka maana mwanamke hua hasahau ila anahifadhi kwa matumizi ya baadae kwa hio mbwaimbwai tu km vipi mwaga mboga nimwage ugali kwanini Unga shingap na Tembele shingap?Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au hiyo ni kwa ajili ya wanaume tu?
Daah Bueno π basi sawaHuo ni udhaifu, Mwanaume kuomba Msamaha mkeo ni sawa na kujivua madaraka maana mwanamke hua hasahau ila anahifadhi kwa matumizi ya baadae kwa hio mbwaimbwai tu km vipi mwaga mboga nimwage ugali kwanini Unga shingap na Tembele shingap?
Sijui kama nimeelewa swali π! Ila ninacho amini .. this is my personal philosophy "Mtu dhaifu ni mtu asiyeweza kuomba msamaha pale ambapo amekosea"
Sijawahi na sitowahi mbwaimbwai tu ukitaka hama chumba kalale stoo niachie chumbaHivi umewahi niomba msamaha kweli?!π€
Kuna makosa ya kuomba msamaha, mfano nimemwaga chai yako bahati mbaya wakati tuko mezani, nitakwambia samahani wife. Siyo eti umenifumania halafu niombe meamaha! Haiwezekani.Hivi umewahi niomba msamaha kweli?!π€
Sawa, vizuriKuna makosa ya kuomba msamaha, mfano nimemwaga chai yako bahati mbaya wakati tuko mezani, nitakwambia samahani wife. Siyo eti umenifumania halafu niombe meamaha! Haiwezekani.
Inategemea na kosa lenyewe ila pia isiwe marq kwa mara kuomba msamaha mke au mpenz wako, iwe mara chache saana tena sana
NimekusomaUkimuomba mwanamke msamaha unakua umekabidhi power yako yote kwake!!!
Siku nyingine ukikosea atakukumbushia na hata yeye ikitokea amezingua atakua anakwambia kumbuka mimi ulinikosea nikakusamehe kidume ukiambiwa hivyo una calm down.
Wakati mwingine anaweza kukunyima unyumba kabisaa eti kisa amekumbuka ulimkoseaga( emotional being )
Kwani ndani ya nyumba kichwa cha familia nani?Nimekusoma
Je na yeye akikukosea ni hivyo hivyo, asikuombe msamaha au ni wewe tu ndo una haki ya kutumia hicho kigezo?
Anavyokutazamaga ukishamuomba msamaha βΊοΈTunaomba mbona, nikijua nimezingua mbona mapema tu...huwa hainipunguzii chochote
Mshangazi dot com
Ok brotherSijui kama nimeelewa swali π! Ila ninacho amini .. this is my personal philosophy "Mtu dhaifu ni mtu asiyeweza kuomba msamaha pale ambapo amekosea"
Pengine labda kama huyo mwanamke humpendi na huna Malengo nae, unataka tu kupiga na kusepa!
Ila kuwa mwanaume Haina maana unapomkosea mwenzi wako, hupaswi kuomba msamaha si kweli!
Kuna kisa fulani nimekikumbuka, sikumbuki vizuri Nini kilitokea baina ya Mimi na rafiki zangu watatu ila kuliibuka ugomvi mkubwa sana.
Na nilisingiziwa kuwa ndio chanzo Cha huo ugomvi. Nakumbuka Ile siku nilipopata hizo taarifa nilienda madhabahuni pale Kijitonyama nikasali sana, Mimi ni yule mwenye hasira za karibu!
Ndani yangu, Nina amini ni Roho Mtakatifu alinisemesha ... Kuwa hiyo siku ya hicho kikao nikifika nisijitete na kujionyesha kuwa Mimi sio mkosaji! Bali nikubali na kuwaambiwa wote naomba mnisamehe Mimi ndiye niliyewakosea!
Nadhani Mungu alikuwa ana deal na Roho ya kiburi ndani yangu! Haikuwa rahisi
Siku ilipofikia wotee wakaongea! Ilipofika zamu yangu, huku natetemeka kwa hasira! Niliwaomba msamaha ... Gafla kukawa na ukimya! Afu nikasepa zangu!
Kesho yake wote walikuja kukubali kuwa wao ndio waliokosea na wanaomba msamaha maana Roho zao zinawasuta!
Sasa turudi kwenye mada yako!
Mahusiano yangu ya mwisho, mbali na ukiburi niliokuwa nao na hulka ya kimasai
Kila mara magomvi yalipokuwa yakitokea nilikuwa wa kwanza kujishusha na kuomba msamaha (Kuna kitu kulikuwa kinani push kufanya ivo)
Siku moja, huyo dada akaniambia "yaani wewe ni ajabu sana, ni mwepesi kuomba msamaha na kuyafanya mambo yaishe ili tu amani ipatikane kati yetu, sijui kwa namna hii tunavyoishi ikitokea siku tukaachana, kama nitaweza kuja kuishi na mwanaume mwingine asiye na moyo kama wako"
Binafsi ni mtu ambaye sipendi magomvi kabisa na sipendi Mimi kuwa sababu ya maumivu kwa mtu mwingine Hilo limenijenga kuwa mwepesi wa kuomba msamaha na kujishusha kwa haraka sana kwa mtu yoyote!
Nina amini, hakuna faida kwenye ugomvi.
Ndo maisha yanaenda π