Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

Wanawake huwa hawasamehi wanaweka moyoni lazima tu atarevenge huko mbeleni tena anasubiria umechoka unahitaji msaada wake mfano ukiwa mzee au mgonjwa au hauna kazi
 
Unaweza kumpoteza mpenzi wako unayempenda kwa dhati eti kisa tu unashindwa kuomba msamaha. Mi nafikiri ni vema kutafuta amani kuliko kujifanya nunda japo iwe balanced
Labda kama hauna pesa ye ndo mwenye pesa
 
Labda kama hauna pesa ye ndo mwenye pesa
Pesa ina nafasi si kila mara kwenye mahusiano.Tumetendwa na kufanyiwa matukio na mtu ambaye ukikaa na kufanya comparison huoni fedha ilihusikaje.
Mapenzi hayana formula..tuna generalize sana mambo.
 
Philosophy ni moja tu,the boss is always right.kila mwanaume alywas yupo sahihi katika Mamlaka yake.

Omba msamaha uone,kifutacha utaingiziwa kidole machoni.
 
Waombe msamaha kiume… habari za kuomba msamaha kama mdada hujiamini hatutakii

Msamaha unaomba huku unamwaga mpunga na tuzawadizawadi hata jojo ya mia 2

Sasa kuna hawa wanaume wasiojiamini aisee hata hajakukwaza ashaanza kujiami na misamaha mara kama nimekukosea nisamehe.. babe umenisamehe kweli yaani mnaboa

Muwe mnakaza.. msamaha uombwe kwenye vitu seriously sio umeacha kupokea simu ndio una ombaomba msamaha

Mnakeraaaaaaaaaaaaaa
 
Basi sawa, wamekusikia 🙂
 
Back
Top Bottom