Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

Kuomba msamaha ni jambo la kiungwana sana ila si kuomba msamaha kinyonge.

Kukubali kinyonge ni kujiweka hatiani na kila ulilosema litatumika kama ushahidi siku kitakapoumana.

Halafu kwanini mwanaume akosee?
Kila anachofanya mwanaume ni kwaajili ya ulinzi n mahitaji ya mwanamke wake. Huwa ni misunderstandings tu kwa wanawake. Kwahiyo njia nzuri ni kumuelekeza aelewe hali halisi na sio kulia lia umekosa. Umekosa nini!!
 
Mwanaume hakosei, mmh hii mpya.
Na mkichepuka hua mnafanya kwa ajili ya mahitaji na ulinzi wetu pia? .
 
Back
Top Bottom